Wadadisi wa mambo wakosoa uchaguzi mdogo wa Tanzania + Sauti
Feb 18, 2018 13:19 UTC
Wachambuzi wa kisiasa wamekosoa mienendo ya dola katika uchaguzi huo wa Kinondoni na Siha
Serikali ya Tanzania imetakiwa kutofumbia macho matukio yaliyoshuhudiwa katika chaguzi ndogo nchini humo ambayo yanaweza kusababisha madhara katika ustawi wa demokrasia hasa ndani ya kipindi hiki ambacho
Watanzania wamebakisha miaka mitatu kabla ya kuingia katika uchaguzi mkuu. Wito huo umetolewa na wasomi na wachambuzi wa maswala ya siasa nchini humo kufuatia matukio tata ya kuuawa kwa watu, kupotea na kamatakamata katika uchaguzi mdogo wa majimbo ya Siha na Kinondoni.
Taarifa zaidi na OMAR MANJI kutoka Dar es Salaam…..
Tags