Mahakama Uganda yamnusuru mwandishi aliyetekwa nyara + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i40603-mahakama_uganda_yamnusuru_mwandishi_aliyetekwa_nyara_sauti
Mahakama moja nchini Uganda imemnusuru mwandishi mwandamizi wa gazeti la serikali la New Vision aliyetekwa nyara hivi karibuni.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 19, 2018 14:31 UTC

Mahakama moja nchini Uganda imemnusuru mwandishi mwandamizi wa gazeti la serikali la New Vision aliyetekwa nyara hivi karibuni.

Itakumbukuwa kuwa siku ya Alkhamisi wabunge wa Uganda alilalamikia ukosefu wa uhuru wa uandishi wa habari nchini humo baada ya kutekwa nyara mwandishi mwandamizi wa gazeti la New Vision, Charles Etukuri. Etukuri alitekwa nyara siku ya Jumatatu na watu watano walikuwa wamevaa sare za jeshi waliokuwa wanatumia Toyota (double cabin), limeandika gazeti hilo.

Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo...