Ziara ya wabunge wa Afrika Mashariki nchini Burundi + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i40605-ziara_ya_wabunge_wa_afrika_mashariki_nchini_burundi_sauti
Wabunge kadhaa wa Jumui ya Afrika Mashariki wamefanya ziara ya kutembelea maeneo tofauti ya Burundi kama sehemu ya juhudi za kuimarisha uchumi wa nchi za ukanda huo. Mwandishi wa Radio Tehran jijini Bujumbura, Hamida Issa na maelezo zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 19, 2018 14:43 UTC