Upekuzi wa polisi katika Ofisi Kuu ya CUF Zanzibar wamalizika salama + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i40609-upekuzi_wa_polisi_katika_ofisi_kuu_ya_cuf_zanzibar_wamalizika_salama_sauti
Upekuzi uliofanywa na Jeshi la Polisi Zanzibar katika Makao Makuu ya chama cha CUF, Mtendeni Kisiwani Unguja umemalizika kwa jeshi hilo kutangaza kuwa halikupata silaha wala miripuko iliyodaiwa kufichwa katika ofisi hiyo. Harith Subeit ametuandalia ripoti kuhusu tukio hilo
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 19, 2018 14:56 UTC