-
DRC yatishia kuweka vikwazo vikali zaidi vya mauzo ya madini adimu ya cobalt
May 15, 2025 22:48Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa inaweza kuweka vikwazo vikali zaidi vya mauzo ya cobalt wakati marufuku yake ya miezi minne itakapomalizika.
-
Wakuu wa ujasusi watembelea Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance. Kulikoni?
May 15, 2025 07:58Katika hatua ya kwanza ya aina yake, wakuu wa mashirika ya ujasusi na usalama kutoka nchi za Afrika Mashariki wametembelea Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance (GERD) magharibi mwa Ethiopia.
-
Uzinduzi wa chama kipya cha Gachagua wavurugwa na walioitwa "wahuni", Kenya
May 15, 2025 07:27Hafla ya uzinduzi wa chama kipya cha aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, cha Democracy for the Citizens Party (DCP) zimevurugwa mapema leo Alkhamisi baada ya kuingiliwa na watu waliotajwa na vyombo vya habari nchini humo kuwa ni "wahuni".
-
Al-Qaeda yatangaza kuhusika na mashambulizi ya Burkina Faso, yasema imeua wanajeshi 60
May 15, 2025 07:26Kundi lenye mafungamano na al-Qaeda, JNIM, limetangaza kuhusika na shambulio lililofanyika katika eneo la kijeshi kwenye jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, likidai kuwaua wanajeshi 60.
-
Amnesty International: Wanajeshi wa Uganda wamekiuka vikwazo vya silaha dhidi ya Sudani Kusini
May 15, 2025 04:06Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International siku ya Jumatano limetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiwekea Sudani Kusini vikwazo vipya vya silaha, likisema kwamba, kuwepo hivi karibuni kwa wanajeshi wa Uganda ni "ukiukaji wa wazi" wa agizo hilo.
-
Goma: Mamia ya watu wakamatwa na M23 katika uvamizi uliozua utata
May 14, 2025 23:40Vuguvugu la AFC/M23 Katika mji wa Goma na vitongoji vyake, limekuwa likifanya uvamizi na na kuwakamata kwa siku kadhaa likidai kuwa watu hao wanahusika na mauaji, uporaji na utekaji nyara.
-
Mali yatengua vyama vyote vya siasa na 'mashirika'
May 14, 2025 08:00Serikali ya kijeshi nchini Mali inayoogozwa na Jenerali Assimi Goita imetangaza kusitisha shughuli za vyama vyote vya kisiasa na mashirika ya kiraia 'yenye muundo wa kisiasa' katika taifa hilo la Afrika Magharibi.
-
Amnesty International yaikosoa Rwanda kuwakubali waliofurushwa kutoka Marekani
May 14, 2025 07:48Uamuzi wa Rwanda wa kuwakubali waliofurushwa kutoka Marekani umekosolewa na Amnesty International, shirika hili likidai kuwa makubaliano hayo yanakiuka yanakiuka mkataba wa wakimbizi.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa: 84,000 wameathiriwa wa mafuriko Somalia
May 14, 2025 03:30Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa jana Jumanne imefichua kuwa zaidi ya watu 84,000 nchini Somaliawameathiriwa na mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 17 tangu katikati ya mwezi uliopita.
-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya: Utulivu umerejea Tripoli
May 13, 2025 23:15Serikali ya Umoja wa Kitaifa yenye makao yake makuu mjini Tripoli (GNU) ilisema jana Jumanne kuwa "imehitimisha" operesheni ya kijeshi katika mji mkuu huo, kufuatia usiku wa mapigano yaliyosababishwa na kuripotiwa mauaji ya kamanda mkuu wa usalama.