-
Kutoweza Afrika Kusini kuachana na Muqawama na ukombozi wa Palestina
Apr 25, 2025 03:47Tarehe 29 Disemba 2023 imerekodiwa katika kumbukumbu za historia ya baada ya mwaka 1994 ya Afrika Kusini kama siku muhimu sana baada ya Pretoria kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama ya ICJ, ikiwasilisha hoja za kisheria za kina na zenye mashiko kwamba ukatili wa Israel katika Ukanda wa Ghaza unakanyaga Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari.
-
Jeshi la Msumbiji: Uasi katika mkoa wenye utajiri wa gesi wa Cabo Delgado umemalizika
Apr 25, 2025 03:12Jeshi la Msumbiji limetangaza kuwa limedhibiti kambi za mwisho za mafunzo zilizokuwa zikitumiwa na waasi katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado, ikiwa ni ishara ya kile wanachokitaja maafisa wa jeshi hilo kuwa ni kumalizika kwa uasi wa miaka mingi katika eneo hilo lenye utajiri wa maliasili ya gesi.
-
Wamorocco wavunja "daraja" lililobeba zawadi angamizi za Marekani
Apr 24, 2025 23:17Wafanyakazi nchini Morocco wamekuwa ngome ya kuwalinda watoto wa Ghaza baada ya kukataa kupeleka zawadi angamizi za Marekani kwa utawala dhalimu wa Israel.
-
Mahakama yaakhirisha kesi kwa muda Tanzania, Lissu agoma
Apr 24, 2025 10:05Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Tanzania, imeakhirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyewe wa Chadema, Tundu Lissu. Hii ni katika hali ambayo Tundu Lissu na mawakili wake wapinga kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao.'
-
Wanasheria: A/Kusini haina namna nyingine ila kuunga mkono Muqawama
Apr 24, 2025 07:51Hatua ya Afrika Kusini ya kuongoza kampeni muhimu ya kisheria katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya mauaji ya umati yanayofanywa na Israel huko Ghaza ni ushahidi wa msimamo wa kishujaa wa nchi hiyo ya Afrika na wanasheria wanasema, Pretoria haina namna nyingine isipokuwa kuendelea kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Misri na Djibouti zalaani mashambulizi mapya ya Israel katika Ukanda wa Gaza
Apr 24, 2025 07:17Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi na mwenzake wa Djibouti, Ismail Omar Guelleh wametangaza uungaji mkono wao kwa juhudi za kumaliza vita katika Ukanda wa Gaza, na kulinda usalama wa baharini katika Bahari Nyekundu.
-
Benin: Askari wetu waliouawa katika shambulio la karibuni ni 54
Apr 24, 2025 07:07Msemaji wa serikali ya Benin, Wilfried Leandre Houngbedji amesema idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo waliouawa katika shambulio la kigaidi lililotokea kaskazini mwa nchi mnamo Aprili 17 ni 54.
-
Waasi wa M23 na serikali ya Kinshasa zakubaliana kusitisha mapigano
Apr 24, 2025 03:58Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kundi la waasi wa M23 zimetoa taarifa ya pamoja zikieleza kwamba, zimeafikiana kusitisha mapigano mashariki mwa nchi hiyo.
-
Tanzania yapiga marufuku bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini
Apr 24, 2025 03:58Serikali ya Tanzania imetangaza kupiga marufuku rasmi bidhaa zote za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi, kufuatia maamuzi ya awali ya nchi hizo mbili ya kupiga marufuku uingizaji wa mazao ya Tanzania.
-
Jeshi la Burkina Faso lazuia jaribio la kumpindua Traore
Apr 23, 2025 07:30Burkina Faso imethibitisha rasmi kwamba kulitokea jaribio la kuimpindua serikali ya nchi hiyo ambayo iko mstari wa mbele wa kuleta marekebisho ya kiuchumi kwa maslahi ya wananchi na dhidi ya madola ya kibeberu.