-
Je, Afrika Kusini itasalimu amri mbele ya ubabe wa Trump?
Mar 11, 2025 04:33Kwa kuendelea msimamo wa kuingilia kati wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kuwa haitajiingiza katika diplomasia isiyo na tija ya "kupiga kelele kupitia vipaza sauti" na Marekani.
-
Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi mawaziri 3
Mar 11, 2025 03:29Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini amewafuta kazi mawaziri watatu jana Jumatatu katika mabadiliko yake ya hivi karibuni ndani ya Baraza la Mawaziri.
-
IOM: Wahamiaji 563 wamekamatwa katika pwani ya Libya
Mar 11, 2025 01:17Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilitangaza Jumatatu kwamba wahamiaji 563 wamekamatwa kando ya pwani ya Libya katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
UNHCR: Wakimbizi wasiopungua 63,000 wa DRC wameingia Burundi
Mar 11, 2025 01:12Zaidi ya watu 63,000 hadi sasa wameingia Burundi wakikimbia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
-
Afrika Kusini yapinga 'diplomasia ya kipaza sauti' na ya kibabe ya Trump
Mar 10, 2025 03:31Huku Rais wa Marekani, Donald Trump, akiendelea kuingilia masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kwamba haitajihusisha na diplomasia isiyojenga ya "ya kipaza sauti" na ya bwabwaja ya Marekani.
-
Rais wa Kenya awakasirisha tena vijana wa Gen Z, asema hatatishwa na watu wa mitandao
Mar 10, 2025 02:38Rais William Ruto wa Kenya jana Jumapili aliwakasirisha vijana wa Gen Z wanaomtuhumu kwamba amekiuka agizo lake mwenyewe la kupiga marufuku maafisa wa serikali kutoa michango ya fedha makanisani baada ya kutoa Shilingi milioni 20 kufadhili miradi ya ujenzi wa kanisa.
-
Kongo: Tutatoa kitita cha dola milioni 5 kwa atayesadia kutiwa nguvuni viongozi wa waasi
Mar 09, 2025 22:59Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetenga donge nono la dola milioni 5 kwa yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa viongozi watatu wa kundi la waasi ambalo limeteka sehemu kubwa ya mashariki mwa nchi hiyo mwaka huu.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 09, 2025 22:57Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
AU yatiwa wasiwasi na uhasama, taharuki nchini Sudan Kusini
Mar 09, 2025 07:54Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat ametoa wito wa kusitishwa mara moja uhasama na mvutano wa kisiasa nchini Sudan Kusini.
-
Waislamu DRC waendelea na Ramadhani chini ya wingu la vita na machafuko
Mar 09, 2025 03:18Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zinaendelea kwa Waislamu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC huku hali ya Waislamu wa Goma ikiwa ni tofauti mara hii na Ramadhani nyingine.