-
Sudan yaafiki kuanzishwa nchini humo kambi ya jeshi la wanamaji la Russia
Feb 12, 2025 23:22Khartoum na Moscow zimekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha jeshi la wanamaji la Russia nchini Sudan.
-
IOM yaomba ufadhili wa dola milioni 81 kwa ajili ya Afrika Mashariki
Feb 12, 2025 05:52Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) na washirika 45 wa masuala ya kibinadamu na kimaendeleo wameiomba jamii ya kimataifa msaada wa dola milioni 81 kwa ajili ya kuokoa maisha kwa zaidi ya wahamiaji milioni moja wakiwemo wanawake na watoto na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi za Djibouti, Ethiopia, Somalia, Tanzania, Kenya na Yemen.
-
UN: Maelfu ya raia Kongo wahama makazi yao baada ya M23 kutoa muhula wa masaa 72
Feb 12, 2025 05:50Waasi wa M23 wanaodhibiti miji ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefunga kwa nguvu kambi za makazi za raia na kuwalazimisha zaidi ya watu 110,000 kuhama makazi yao katika siku za hivi karibuni. Haya yameelezwa na Umoja wa Mataifa.
-
Congo yaishtaki Rwanda katika Mahakama ya Afrika
Feb 12, 2025 03:43Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ICJ kwa madai ya ukiukwaji wa haki.
-
Nchi tatu za Afrika zasaini mkataba wa bomba la gesi asilia
Feb 12, 2025 03:42Imeelezwa kuwa, nchi tatu za Afrika za Nigeria, Algeria na Niger zimefanikiwa kutiliana saini mkataba muhimu wa bomba la gesi asilia
-
Watu 108 waaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Angola
Feb 12, 2025 03:42Watu karibu 108 wamefariki dunia nchini Angola kutokana na mlipuko wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Hiyo ni kulingana na taarifa ya wizara ya afya ya nchi hiyo.
-
Algeria yalaani matamshi ya kijuba ya Netanyahu kuhusu Wapalestina
Feb 12, 2025 03:13Algeria imepinga kwa maneno makali matamshi ya kijuba ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyetaka Wapalestina wapewe makazi mapya nje ya nchi yao na kwamba eti serikali ya Saudi Arabia imege ardhi yake na kuwapa Wapalestina waunde nchi yao.
-
Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi makamu wa rais na mkuu wa ujasusi
Feb 12, 2025 03:12Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafuta kazi makamu wake wawili, James Wani Igga na Hussein Abdelbagi Akol ikiwa ni mabadiliko ya karibuni kabisa katika serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
"Maharamia" warejea kwa nguvu Somalia, wateka nyara meli ya uvuvi
Feb 12, 2025 03:08Watu wanaoshukiwa kuwa mo maharamia wameteka nyara meli ya uvuvi iliyokuwa na bendera ya Yemen karibu na Eyl, kaskazini mwa Somalia.
-
Mvutano wazuka kati ya Misri na Marekani baada ya tishio la Trump; el Sisi 'huenda akaashirisha' ziara ya Washington
Feb 11, 2025 10:46Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi huenda akaahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa mjini Washington, kama ishara ya mkwamo mkubwa wa kidiplomasia wakati huu kukiwa na mvutano unaoongezeka kati yake na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mgogoro wa Gaza na vitisho vya kukata misaada ya Washington kwa serikali ya Cairo.