-
Ndege za kijasusi za Marekani zaruka katika maeneo mbalimbali ya Nigeria
Dec 23, 2025 04:23Ndege za Marekani zimekuwa zikipataa katika maeneo mengi ya Nigeria kwa lengo la kukusanya taarifa za kijasusi tangu mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu.
-
Mataifa ya Maziwa Makuu kutatua mgogoro wa DRC
Dec 22, 2025 23:45Wajumbe kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameafikiana kwamba nchi za Maziwa makuu zinapaswa kuhusishwa katika juhudi za kuutatua mgogoro huo ambao sasa unaihusisha Burundi moja kwa moja.
-
UNDP yapasisha mradi wa dola milioni 5.8 kulinda Maziwa ya Ubari nchini Libya
Dec 22, 2025 23:44Shirila la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Libya lilitangaza jana Jumatatu kuwa limeidhinisha mradi wa dola milioni 5.8 unaofadhiliwa na Kituo cha Mazingira Duniani (GEF) ili kushughulikia changamoto za mazingira na maendeleo katika bonde la Maziwa ya Ubari huko magharibi mwa Libya.
-
Rwanda yafunga maelfu ya makanisa ya kiinjili
Dec 22, 2025 07:07Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjilisti kwa kushindwa kufuata sheria ya mwaka 2018 iliyoanzishwa kwa ajili ya kusimamia maeneo ya ibada.
-
Kwa nini Afrika inadai fidia ya utumwa kutoka nchi za Magharibi?
Dec 22, 2025 06:08Afrika imeazimia ipasavyo kulipwa fidia ya kipindi cha utumwa kutoka nchi za Magharibi, na katika suala hili, Rais wa Ghana amechukua jukumu la kudai fidia ya kipindi cha utumwa Wazungu barani Afrika.
-
Viongozi wa Afrika wataka suluhisho la kikanda kwa mgogoro wa DR Congo
Dec 22, 2025 04:00Viongozi wa nchi kadhaa za Afrika siku ya Jumapili walitaka juhudi za kikanda zipewe kipaumbele katika kutatua mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), huku mipango ya kimataifa ikipewa nafasi ya usaidizi.
-
Wanafunzi 130 waliotekwa nyara Nigeria waokolewa
Dec 22, 2025 03:57Serikali ya Nigeria imetangaza kufanikiwa kuwaokoa wanafunzi 130 wa shule waliotekwa na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mwezi Novemba.
-
AU yamuunga mkono Jenerali Al Burhan na kuwalaani RSF Sudan
Dec 21, 2025 08:05Umoja wa Afrika AU umetangaza kumuunga mkono Jenerali Abdel Fattah al Burhan na serikali yake nchini Sudan na kusisitizia wajibu wa kurejeshwa umoja wa ardhi na utulivu wa nchi hiyo. Pia umetoa mwito wa kufanyika mazungumzo baina ya pande hasimu ili kukomesha vita vya umwagaji damu visivyo na sababu ya maana.
-
Bunge la Algeria laanza kujadili muswada wa kujinaisha ukoloni wa Ufaransa
Dec 21, 2025 05:42Bunge la Algeria jana lilifungua mjadala kuhusu rasimu ya sheria inayotaka kujinaisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini humo kati ya mwaka 1830 na 1962.
-
Lavrov: Kuimarishwa usalama ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya Afrika
Dec 21, 2025 04:16Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuimarisha amani na usalama barani Afrika ni jambo muhimu ili kuhakikisha ustawi wa bara hilo na maendeleo endelevu, na ni kipengee muhimu katika kudumisha amani duniani.