-
SAUTI: Sintofahamu yaendelea kugubika Tanzania baada ya hatua ya Rais Magufuli wa Tanzania kumpiga kalamu nyekundu Waziri Nape Nnauye
Mar 23, 2017 13:41Baada ya uteuzi wa mawaziri wapya katika Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ikiambatana na kumpiga kalamu nyekundu kwenye baraza hilo Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye, uteuzi huo umetafsiriwa kwa hisia tofauti na Watanzania.
-
SAUTI, Burundi: Hatutakubali ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam dhidi yetu kwani ni njama
Mar 23, 2017 13:36Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam imekusudia kuanzisha uchunguzi juu ya ukiukaji haki za binaadamu nchini Burundi kupitia nchi za jirani zilowapokea wakimbizi wa taifa hilo.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni na kutojali kwake ripoti za Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2017 11:58Katika hali ambayo jinai na sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina zinakabiliwa na malalamiko na upinzani wa walimwengu pamoja na jumuiya za kimataifa, utawala huo dhalimu umeamua kushadidisha mashambulio yake dhidi ya wananchi hao madhulumu.
-
Mwandishi aliposhambuliwa kwa kombora akiwa hewani mubashara
Mar 20, 2017 07:53Mwandishi wa televisheni ya al Alam, Haydar Qassim amejeruhiwa mguuni baada ya eneo alipokuwa anatoa ripoti yake kwa sura ya mubashara kushambuliwa kwa kombora na magaidi wa Daesh, magharibi mwa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aungana na Israel dhidi ya Syria, Hizbullah
Mar 19, 2017 02:05Msemaji wa jeshi la utawala haramu wa Israel amekiri kuwa ndege za kivita za utawala huo zimefanya mashambulizi dhidi ya vituo vya kijeshi nchini Syria.
-
NASA yatakiwa kutumia mfumo wa mlolongo kumteua mgombea urais Kenya
Mar 16, 2017 10:55Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetakiwa kutumia mfumo wa upigaji kura wa mlolongo kumteua mgomea kiti cha urais.
-
SAUTI, Polisi ya Uganda: Tumewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria ambao ni wanafunzi kwa madawa ya kulevya
Mar 16, 2017 03:14Polisi nchini Uganda, imewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria kwa kuhusishwa na utumiaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
-
Mazungumzo ya Astana, kuendelea juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Mar 14, 2017 09:17Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ukiongozwa na Hussain Jabir Ansari, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje uliwasili asubuhi ya Jumatatu ya jana mjini Astana, mji mkuu wa Kazakhstan kwa ajili ya kushiriki mazungumzo ya amani ya Syria yaliyopewa jina la Astana 3.
-
SAUTI: Rais Kenyatta: Sitomtusi mtu tena, mimi ni binaadamu, Lakini mpinzani atakayenichokoza atapata jibu lake kali
Mar 12, 2017 14:25Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba radhi raia wa nchi hiyo kwa kutumia lugha ya matusi, katika kukabiliana na wapinzani wake majukwaani.
-
SAUTI: Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mazishi ya mama yake rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na masuala mengine ya Kiislamu
Mar 10, 2017 15:03Wiki hii rais mtaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alifiwa na mama yake mlezi.