-
SAUTI: Kufuatia Rais Kenyatta wa Kenya kujibizana vikali na kiongozi wa upinzani, sasa viongozi wa kisiasa watakiwa kuwa na subira
Mar 10, 2017 13:51Muungano wa viongozi wa kidini nchini Kenya umetoa tahadhari ya kudhibiti ndimi za wanasiasa kunako kutoa maneno ya uchochezi pale wawapo majukwaani.
-
Wasiwasi wa kutumia ISIS silaha zaidi za kemikali nchini Iraq
Mar 06, 2017 00:28Shirika la Msalaba Mwekundu limetoa taarifa ya kulaani mashambulizi ya silaha za kemikali ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) dhidi ya raia wasio na ulinzi wa mji wa Mosul huko Iraq.
-
SAUTI: Hatimaye kasisi anayejiita Nabii huko Kongo DR, ajisalimisha kwa polisi baada ya kumtusi Rais Kabila kuwa sio raia wa nchi hiyo
Mar 04, 2017 15:04Mbunge na kiongozi wa Kanisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anajitaja kuwa ni nabii wa Mungu, Bwana, Ne Muanda Nsemi, amejitokeza hadharani baada ya kuwa mafichoni kwa wiki kadhaa, kufuatia kanisa lake kuzingirwa na jeshi la polisi la nchi hiyo.
-
SAUTI: Uganda na Ethiopia zazungumzia kadhia ya migogoro ya matumizi ya maji ya mto Nile
Mar 04, 2017 14:38Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amefanya safari ya siku tatu nchini Uganda, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi
Mar 02, 2017 14:56Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.
-
Ukandamizaji wa jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Mar 01, 2017 00:24Yanghee Lee, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa ambaye hivi karibuni alizitembelea kambi za Waislamu wa Rohingya huko nchini Bangladesh ametoa taarifa inayoeleza kuwa, jeshi la Myanmar limefanya ukandamizaji na vitendo vya kinyama dhidi ya Waislamu hao.
-
Spika Zuberi: Mazungumzo yanaweza kutatua mgogoro Zanzibar, hakuna uchaguzi hadi 2020
Feb 28, 2017 13:45Hivi karibuni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alikuwa safarini nchini Iran na Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran ilizungumza naye kuhusu mgogoro wa kisiasa unaeondelea Zanzibar.
-
VIDEO: Israel yatuma majasusi nchini Syria
Feb 26, 2017 23:15Kikosi maalumu cha jeshi la Israel kimeingia kwenye ardhi ya Syria kwa ajili ya kufanya ujasusi.
-
Sayyed Albeity wa Lamu, Kenya: Kuna Matumaini Intifadha ya Palestina Itafaulu
Feb 26, 2017 11:20Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Mbunge wa Matuga, Kenya: Wanaadamu wote waunge mkono uhuru wa Palestina
Feb 26, 2017 11:13Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.