-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aunga mkono Intifadha ya Palestina, alaani udhalimu wa Israel
Feb 26, 2017 09:05Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Uwenyekiti wa Iran kwa kundi la 77, uga mpya wa kuwa na nafasi muhimu kieneo na kimataifa
Feb 26, 2017 01:03Hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuichagua Iran kuwa Mwenyekiti wa kundi la 77 kwa mara nyingine tena imethibitisha uwezo wa Iran kama nchi yenye taathira katika uga wa kimataifa.
-
SAUTI, Waswahili wa Burundi: Tumenyanyaswa kwa zaidi ya miaka 100, Burundi imegeuka na kuwa mali ya Watutsi na Wahutu pekee
Feb 21, 2017 15:13Jamii ya Waswahili nchini Burundi inailalamikia serikali ya nchi hiyo kwamba, imekuwa ikiwatenga kwa zaidi ya miaka 100 sasa kuweza kushiriki katika masuala ya kimaendeleo, kisiasa na kijamii.
-
Video: Maroketi erevu ya Iran yenye uwezo mkubwa wa kushambulia
Feb 21, 2017 08:26Katika maneva ya kijeshi yanayoendelea hivi sasa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio maroketi erevu (smart rockets) ambayo yana uwezo mkubwa wa kushambulia adui. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya kazi zinazofanywa na maroketi hayo.
-
SAUTI: Serikali Burundi yatumai wakimbizi watarejea; wakimbizi lakini hawaoneshi hamu wa kurejea nyumbani
Feb 19, 2017 10:46Viongozi wa Burundi wameonesha matumaini makubwa ya kurejea nyumbani raia wa nchi hiyo waliokomimbilia nchi jirani baada ya kazuka machafuko nchi mwao hasa baada ya chama tawala cha CNDD-FDD kumuidhinisha Rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa mara ya tatu mfululizo. Maelezo zaidi anayo mwandishi wa wetu wa Kampala, Uganda, Kigozi Ismail.
-
Video: Mazungumzo ya Rais Rouhani na Sultan Qaboos wa Oman
Feb 15, 2017 14:40Akiwa katika ziara rasmi ya siku moja, leo Jumatano, tarehe 15 Februar 2017, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk Hassan Rouhani ameonana na kuzungumza na Sultan Qaboos wa Oman na pande mbili zimetilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kidugu baina yao.
-
Video: Rais Rouhani alipowasili Oman Jumatano Feb 15 2017
Feb 15, 2017 13:43Mapokezi ya Rais wa Iran katika uwanja wa ndege wa Muscat Oman
-
Familia: Yumkini Mzee Tshisekedi aliuawa
Feb 14, 2017 13:48Familia ya Tshisekedi yadai kuwa huenda mwanasiasa huyo mkongwe aliuawa.....
-
SAUTI: Kiswahili lugha rasmi nchini Rwanda, Kifaransa chatupwa
Feb 13, 2017 12:13Wananchi wa Rwanda wamefurahishwa na uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kupitisha Kiswahili kama lugha rasmi nchini humo.
-
SAUTI: Mahojiano kuhusu maandamano ya sherehe za mapinduzi ya Kiislamu jiji Tehran hii leo, wananchi wailaani vikali Marekani
Feb 10, 2017 04:44Na Ijumaa ya leo tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 10 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 38 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.