-
Video ya makomando wa SEPAH walipoisimamisha meli ya Uingereza Ghuba ya Uajemi
Jul 21, 2019 02:47Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH limesema kuwa halina muhali katika kutekeleza sheria na kulinda mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kenya: Mgogoro wa mpaka wa baharini kati yetu na Somalia utatuliwe kwa mazungumzo
Jul 20, 2019 05:00Serikali ya Kenya inaendelea kusisitiza kuwa, nchi jirani ya Somalia inapaswa kuheshimu mamlaka ya ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki, huku Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ ikitazamiwa kutoa hukumu mwezi Septemba mwaka huu, juu ya mvutano wa mpaka wa baharini kati ya nchi mbili hizo.
-
Wapinzani CAR walalamikia ukandamizaji wa serikali + Sauti
Jul 19, 2019 01:43Vyama vya upinzani na asasi za kijamii za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kukandamiza maandamano yao katika muda wa mwezi mmoja uliopita. maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu, Mossi Mwasi...
-
Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti
Jul 19, 2019 01:34Serikali ya Rwanda haijathibitisha wala kukanusha taarifa kuhusu mwanamke mmja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola wiki iliyopiwa alikuwa ameingia Rwanda kabla ya kuelekea Uganda au la. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...
-
Mahujaji 1700 wanatarajiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokea Zanzibar + Sauti
Jul 15, 2019 00:12Mahujaji watarajiwa 1700 kutoka Zanzibar nchini Tanzania wametakiwa kufuata kwa vitendo mafunzo waliyopatiwa na viongozi wa taasisi za Hija zinazowasafirisha ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar
-
Wajasiriamali "Muhajjaba" waandaliwa shindano la uvaaji bora wa Hijab + Sauti
Jul 15, 2019 00:06Wanawake wajasiriamali nchini Tanzania ambao wamedumisha vazi la Hijabu wameandaliwa shindano maalumu kwa wale wanaovaa vazi hilo tukufu hata wakiwa katika mishughuliko yao, lengo likiwa ni kuwapa motisha wale wasiovaa, wawezee kuvaa vazi hilo la heshima la Kiislamu. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
-
Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi DRC yaanza kuzaa matunda + Sauti
Jul 13, 2019 11:15Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kujaribu kuvunja nguvu mirengo ya kisiasa nchini humo inaonekana imeanza kuzaa matunda. Mossi Mwasi na maelezo zaidi…
-
SAUTI, Ufaransa inayotajwa mchochezi wa migogoro Afrika ya Kati, yachukua jukumu la kulifundisha jeshi la CAR
Jul 09, 2019 12:48Serikali ya Ufaransa imechukua uenyekiti wa kulifundisha jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kutoka kwa Ureno.
-
Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti
Jul 07, 2019 11:17Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, Waziri wa Viwanda na Biashara wa nchi hiyo, Mheshimiwa Innocent Bashugwa amewataka Watanzania kuitumia Sabasaba kama sehemu ya kuwakutanisha wafanyabiashara na wenye viwanda wa Tanzania na wanaotoka nchi mbalimbali kwaajili ya kujikuza kibiashara na wasiifanye kuwa ni sehemu ya kuwapeleka watoto matembezini tu. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam.
-
Burundi yaadhimisha miaka 57 ya Uhuru + Sauti
Jul 01, 2019 11:36Leo Jumatano tarehe Mosi Julai 2019, Burundi imesherehekea mwaka wa 57 tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa Ulaya, Ubelgiji. Rais Pierre Nkurunzinza ametumia fursa hiyo kutangaza hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kuondoa michango ya lazima kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.