-
Kwa nini Iran inakaribisha kuimarisha na kupanua uhusiano na nchi jirani?
Feb 20, 2025 07:02Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Russia, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Waziri Mkuu wa Tajikistan na Naibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri la Turkmenistan. Mazungumzo haya yamefanyika pambizoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kiuchumi wa Eneo la Kaspi hapa mjini Tehran.
-
Spika wa Bunge la Iran: Jinai za Israel Gaza na Lebanon ni mauaji ya kimbari
Feb 20, 2025 04:12Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel Gaza na Lebanon ni mauaji ya kimbari.
-
Ziyad al-Nakhala: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni egemeo la makundi ya muqawama
Feb 20, 2025 04:11Ziyad Al-Nakhala, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni egemeo na muungaji mkono wa makundi ya muqawama.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kupanua uhusiano na majirani ni sera ya uhakika ya Iran
Feb 19, 2025 23:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: kupanua uhusiano na majirani ni sera ya uhakika ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
IRGC ya Iran yavunja mitandao ya ujasusi ya Israel na Marekani
Feb 19, 2025 23:13Vikosi vya kiintelijensia vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) vimesambaratisha mitandao kadhaa ya kijasusi yenye mfungamano na Marekani na Israel katika mkoa wa Mazandaran, kaskazini mwa nchi.
-
Rais Pezeshkian: Iran, Qatar zinafungua njia mpya za ushirikiano
Feb 19, 2025 12:04Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema Tehran na Doha zimefanya maamuzi muhimu ili kuimarisha uhusiano na kufungua njia mpya za ushirikiano.
-
Abbas Araghchi na Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi walijadili mambo gani?
Feb 19, 2025 08:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuhusu uungaji mkono ulioonyeshwa na nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa hatua ya maana iliyochukuliwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ya kukabiliana na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala wa Kizayuni unaolenga kuifuta Palestina, na akabainisha kwamba: "Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuiunga mkono Palestina kwa msimamo thabiti."
-
Pezeshkian: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Sudan
Feb 19, 2025 08:41Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha kwa mikono miwili kurejeshwa kwa uhusiano wa nchi hii na Sudan, akisisitiza kuwa nchi za Kiislamu zinapaswa kuepuka mivutano na kukata uhusiano baina yao.
-
Iran: Tunapinga mpango wowote wa kufukuzwa Wapalestina Gaza
Feb 19, 2025 08:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema kuwa Tehran inapinga vikali na kulaani mpango wowote unaokusudia kuwafurusha Wapalestina katika ardhi zao.
-
Kamanda wa IRGC: Operesheni ya Ahadi ya Kweli III dhidi ya Israel itatekelezwa karibuni hivi
Feb 19, 2025 03:25Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Iran "lazima iwe tayari kwa vita, ili kusiwepo na vita".