-
Sayyid Abbas Araghchi: Bashar Assad alikataa kusikiliza mapendekezo yetu
Dec 21, 2024 10:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tulitoa mapendekezo mengi kwa Bashar al-Assad, Rais wa zamani wa Syria lakini alikataa kuyasikiliza, tulimtahadharisha kuhusu harakati za upinzani huko Idlib na serikali ya Syria ilifanya maamuzi huru.
-
Araghchi: Ugaidi nchini Syria ni tishio kwa eneo zima la Asia Magharibi
Dec 20, 2024 23:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, ugaidi nchini Syria ni tishio kwa eneo zima la Asia Magharibi
-
Utawala wa Kizayuni umeshindwa na Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon
Dec 20, 2024 10:05Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake ya kijeshi mbele ya Muqawama wa Kiislamu na Hizbullah huko kusini mwa Lebanon na ndio maana adui Mzayuni amelazimika kukubali usitishaji vita.
-
Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili
Dec 20, 2024 10:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana mjini Cairo, Misri na wamepitia hatua zote chanya za kuweza kustawisha uhusiano kati ya nchi zao. Wameelezea matumaini yao kuwa hatua chanya zitaendelea hadi uhusiano wa nchi mbili utakaporejeshwa kikamilifu.
-
Pezeshkian amwambia Erdogan: Unyakuzi wa ardhi ya Syria haukubaliki kwa njia yoyote
Dec 20, 2024 04:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria. Rais Masoud Pezeshkian ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa nchi wanachama katika D-8 uliofanyika jana mjini Cairo huko Misri.
-
Mshauri wa Rais wa Iran: Tehran na Cairo zina azma ya kuanzisha tena uhusiano
Dec 19, 2024 23:24Mshauri wa masuala ya kisiasa wa Rais wa Iran amesema kuwa kuna matumaini kwamba katika siku zijazo kutafunguliwa tena balozi za Iran na Misri katika miji mikuu ya pande hizo mbili kwa kuzingitia hatua zilizochukuliwa hadi sasa.
-
Rais Pezeshkian ahimiza umoja kati ya Waislamu ili kukabiliana na uchokozi wa Israel
Dec 19, 2024 08:49Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja kati ya mataifa ya Kiislamu, na kutilia mkazo udharura wa kuchukuliwa hatua za pamoja ili kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel.
-
Rais wa Iran: Kuundwa mfuko wa pamoja wa uwekezaji ni hatua ya kufikia malengo ya D8
Dec 19, 2024 07:45Rais wa Jamhuri ya Iran amekutaja kuanzishwa Mfuko wa Maendeleo wa kundi la D8 kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja wa nchi za Kiislamu wanachama kuwa ni hatua madhubuti ya kupanua ushirikiano wa nchi wanachama.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uturuki watilia mkazo kulinda usalama wa kikanda
Dec 19, 2024 07:40Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uturuki wamesisitiza udharura wa kushikamana nchi kubwa za Kiislamu hususan wanachama wa Jumuiya ya D8 ili kusitisha mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kulinda usalama wa eneo hili.
-
Iran: Ni aibu kwamba ulimwengu ‘umeshindwa' kuzuia jinai za Israel
Dec 19, 2024 03:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesikitishwa jamii ya kimataifa kushindwa kusimamisha jinai za utawala haramu wa Israel huku Marekani ikiuunga mkono utawala huo.