-
IRGC: Uhalisia wa kushindwa Israel unakaribia kutimia
Nov 08, 2024 23:50Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kisasi cha hivi karibuni cha Iran dhidi ya Israel kilionyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wa taifa hili.
-
Kubatilishwa na kukanushwa hata na Ukraine madai hewa ya nchi za Ulaya dhidi ya Iran
Nov 08, 2024 23:27Rais wa Ukraine amesema, madai hewa yaliyotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya Iran kwamba imeipelekea Russia makombora ya balestiki hayana ukweli.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Shahidi Nasrallah aligeuza Hizbullah kuwa ngome imara
Nov 08, 2024 08:47Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah alikuwa kiongozi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu), mwanazuoni wa mujahidina na kamanda shupavu, shujaa na mbunifu ambaye aliigeuza harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ngome imara.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiislamu, OIC, yalaani vikali hujuma za Israel dhidi ya Iran
Nov 08, 2024 08:44Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha hivi karibuni cha utawala ghasibu wa Israel cha uchokozi dhidi ya vituo kadhaa vya Iran, na kukitaja kuwa ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya kujtawala ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran haijali nani ameshinda uchaguzi wa rais Marekani
Nov 07, 2024 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Haijalishi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nani ameshinda uchaguzi wa rais nchini Marekani.
-
Iran na Sudan zasisitiza kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara
Nov 07, 2024 23:07Waziri wa Uchumi na Fedha wa Iran na Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Sudan wamekutana na kujadili upanuzi wa uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara.
-
Iran: Ushindi wa Trump ni fursa kwa Marekani kurekebisha 'sera zisizo sahihi'
Nov 07, 2024 23:06Iran inasema itaihukumu serikali mpya ya Marekani kwa misingi ya sera na mienendo yake baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa rais siku ya Jumatano.
-
Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika
Nov 07, 2024 07:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia jinsi harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah na HAMAS zinavyoendelea na mapambano yao kwa nguvu zote licha ya misukosuko mikubwa iliyozikumba harakati hizo na kusisitiza kuwa, kama inavyoonesha ahadi ya Allah, ushindi wa kambi ya Muqawama ni kitu cha lazima kisichoepukika.
-
Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege
Nov 07, 2024 06:25Balozi wa Tunisia mjini Tehran ametaka kuweko safari za moja kwa moja za ndege baina ya Tehran na Tunis hasa kwa vile uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unazidi kuimarisha siku baada ya siku.
-
Mkuu wa IRGC: Hizbullah imenusurika kimiujiza
Nov 07, 2024 03:22Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema licha ya hasara na matukio ya kusikitisha, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imejengwa upya kimiujiza.