-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi
Mar 17, 2025 02:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.
-
Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina
Mar 16, 2025 23:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na kusema kuwa, mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kuendelea mauaji na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Salami: Tishio lolote dhidi ya Iran litakabiliwa na jibu la kuumiza
Mar 16, 2025 08:14Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba, Iran itatoa jibu la maangamivu kwa tishio lolote iwapo litatekelezwa kivitendo dhidi ya taifa hili.
-
Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani
Mar 16, 2025 02:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.
-
Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana
Mar 15, 2025 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tehran iko tayari kuzungumza na nchi za Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana na yanayojali maslahi ya pamoja.
-
Wanawake wa Iran wanastawi kwa kasi licha ya vikwazo
Mar 15, 2025 23:19Licha ya vikwazo, wanawake wa Iran wanaendelea kuwa na azma thabiti ya kujenga mustakabali wa haki zaidi.
-
Iran yazindua Jukwaa la Kitaifa la AI: Hatua kubwa kuelekea kwenye kilele cha teknolojia
Mar 15, 2025 23:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua Jukwaa lake la Kitaifa la Akili Mnemba (AI), lililoundwa na watafiti 100 wa Iran, ikiwa ni ishara ya hatua kubwa katika harakati za nchi hii za kujiendeleza na kujitosheleza kiteknolojia.
-
Msemaji wa Serikali ya Iran: Uuzaji nje mafuta hauwezi kusitishwa
Mar 15, 2025 09:06Msemaji wa Serikali ya Iran amesisitiza kuwa uuzaji nje mafuta wa Iran hauwezi kusimamishwa na hakukuwa na haja ya kuwekwa vikwazo vipya iwapo vile vya huko nyuma vilikuwa na taathira.
-
Iran: Vikwazo vipya vimefichua unafiki wa Washington
Mar 15, 2025 03:42Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Paknejad na baadhi ya taasisi na meli zinazohusika na mauzo ya nje ya mafuta ya nchi hii na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo ni ithibati ya "ukiukaji wa sheria na unafiki" wa Washington.
-
"Chuki dhidi ya Uislamu ni chombo cha kuhalalisha jinai za Israel"
Mar 15, 2025 03:36Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mwenendo unaoongezeka wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani na kusema kuwa, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) ni nyenzo ya kuhalalisha uvamizi na jinai za utawala wa Kizayuni.