-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wafanya mazungumzo kuhusu chokochoko mpya za Israel dhidi ya Iran
Oct 28, 2024 06:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri jana Jumapili ilitoa taarifa na kusema kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Badr Abdelatty amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi na kujadiliana naye kuhusu shambulio la Israel la siku ya Jumamosi dhidi ya baadhi ya maeneo ya Iran.
-
Pezeshkian: Mandela atakumbukwa kwa mapambano yake dhidi ya dhulma
Oct 24, 2024 07:19Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amemuenzi na kumpongeza kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela kutokana na jitihada na mapambano yake dhidi ya dhulma na ukandamizaji.
-
Msumbiji yawaachia huru mabaharia kumi wa Kiirani
Aug 29, 2024 02:51Mabaharia 10 wa Iran waliokuwa wanashikiliwa nchini Msumbiji wameachiliwa huru.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia vifo vya wananchi wa Sudan katika mafuriko + Video
Aug 28, 2024 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa mafuriko nchini Sudan.
-
Pezeshkian: Maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na Tanzania ni fursa ya kipekee
Aug 01, 2024 06:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na baadhi ya maeneo ya Tanzania hasa Zanzibar, ni fursa nzuri ya kustawishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili.
-
Iran na Sudan zarejesha uhusiano; balozi wa Iran Khartoum akabidhi hati za utambulisho
Jul 22, 2024 03:14Kiongozi wa Baraza la Utawala wa Mpito na Mkuu wa Majeshi ya Sudan, Abdul Fattah Al-Burhan, amepokea hati za utambulisho za balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sudan, Hassan Shah Hosseini.
-
Tunisia yawaondolea visa watalii kutoka Iran
Jun 16, 2024 02:36Serikali ya Tunisia imeruhusu kuingia bila ya visa watalii wa Iran kuanzia jana Jumamosi.
-
Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu
May 27, 2024 12:48Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu.
-
Rais Samia aungana na viongozi wa mataifa mengine kumuomboleza Ebrahim Raisi
May 25, 2024 03:41Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na viongozi wa mataifa mengine duniani kumuomboleza Ebrahim Raisi wa Iran.
-
Waislamu wa Tanzania wamuomboleza Sayyid Ebrahim Raisi
May 22, 2024 07:09Waislamu nchini Tanzania wameshiriki katika hafla ya kuwakumbuka na kuwaenzi viongozii wa Iran walioaga dunia hivi karibuni akiwemo Rais Ebrahim Raisi.