-
Uganda: Tunahitaji teknolojia ya Iran kudhibiti maudhui chafu, potofu mitandaoni
May 10, 2024 07:25Serikali ya Uganda inatafakari kuanza kutumia teknolojia iliyopiga hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhibiti maudhui chafu na za upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii.
-
Iran: Lugha ya Kifarsi kufundishwa katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe
May 10, 2024 07:23Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran ametangaza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuanza kufunza lugha ya Kifarsi katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe.
-
Iran yatathmini njia za kuimarisha uhusiano wake na Tunisia
May 06, 2024 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inachunguza njia na majukwaa ya kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili kati yake na Tunisia.
-
Irani, Misri zinajadili kukuza uhusiano, kukomesha ukatili wa Israel
May 05, 2024 06:45Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wamejadili njia zinazowezekana za kustawisha uhusiano wa pande mbili na kukomesha jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina hususan katika Ukanda wa Gaza.
-
Mahdavi: Iran iko tayari kusafirisha vifaa vya matibabu barani Afrika
May 02, 2024 11:45Katibu wa Baraza la Sera ya Mauzo ya Nje la Shirika la Chakula na Dawa la Wizara ya Afya ya Iran ametangaza utayarifu wa Iran wa kusafirisha vifaa na suhula za matibabu barani Afrika.
-
Iran na Uganda zaazimia kupanua ushirikiano katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari
May 02, 2024 11:21Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran ametangaza utayari wa taifa hili wa kushirikiana na Uganda katika miradi ya mawasiliano na teknolojia habari na uhamishaji wa taaluma hiyo kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Iran na Uganda kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo
May 01, 2024 07:18Mwenyekiti wa Kamisheni ya Viwanda na Madini ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inatilia maanani ushirikiano wa kilimo na Uganda katika uga wa kilimo nje ya mipaka ya nchi, mafunzo na ushirikiano wa wataalamu na watafiti.
-
Makamu wa Rais wa Iran asisitiza kuendeleza uhusiano na nchi za Afrika
Apr 28, 2024 07:22Makamu wa kwanza wa rais wa Iran amesema kuwa, kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika imekuwa stratijia ya Iran tangu ulipopatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mwaka 1979.
-
Kikao cha Pili cha Kimataifa cha Iran na Afrika; nembo ya azma ya kupanua ushirikiano
Apr 26, 2024 14:37Kikao cha pili cha kimataifa kati ya Iran na Afrika kimefanyika leo asubuhi (Ijumaa) kwa kuhudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya kiuchumi wa nchi zaidi ya 30 za Afrika na kwa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ukumbi wa mikutano wa nchi za Kiislamu mjini Tehran.
-
Rais Raisi: Kuna irada ya kuimarisha uhusiano wa Afrika na Iran
Apr 26, 2024 08:10Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara.