-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 06:52Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Niger ilivunja mkataba wa kijeshi na Marekani baada ya 'kuonywa' kuhusu uhusiano wake na Iran, Russia
Mar 20, 2024 02:43Serikali ya Niger iliamua kusitisha makubaliano ya kijeshi na Marekani baada ya ujumbe wa maafisa wakuu wa kijeshi wa Marekani kuitembelea nchi hiyo ya Afrika Magharibi na "kueleza wasiwasi" kuhusu uhusiano wake na Russia na Iran unaokua
-
Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger
Mar 18, 2024 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi ina hamu ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na nchi za Afrika ikiwemo Niger.
-
Waziri wa Wanawake Zimbabwe apongeza ustawi mkubwa wa wanawake wa Iran
Mar 18, 2024 05:11Waziri wa Masuala ya Wanawake, Maendeleo ya Jamii, Biashara Ndogo na za Kati wa Zimbabwe Monica Mutsvangwa amesifu maendeleo yaliyofikiwa na wanawake wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na hatua zinazochukuliwa na serikali ya Iran kuwawezesha wanawake nchini.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel katika mahakama ya ICJ
Mar 17, 2024 02:55Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza na kuishukuru Afrika Kusini kwa uamuzi wake wa kihistoria wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran na Sierra Leone kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Mar 07, 2024 02:32Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Sierra Leone wametilia mkazo wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa kiuchumi na kisiasa baina ya nchi zao.
-
Khartoum yakanusha madai kuwa Iran inataka kujenga kambi ya kijeshi Sudan
Mar 04, 2024 10:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amekadhibisha madai ya gazeti moja la Marekani kwamba Iran imeiomba serikali ya Sudan idhini ya kujenga kituo cha kudumu cha kijeshi katika maji ya Bahari Nyekundu, pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Iran: Juhudi za serikali ya 13 ya Jamhuri ya Kiislamu ni kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Afrika
Mar 04, 2024 07:12Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya uchumi amesema kuwa, Wizara ya Mambo ya Nje na balozi za Iran nje ya nchi zinafuatilia kwa dhati maendeleo ya ushirikiano wa kiuchumi na nchi za bara la Afrika.
-
Raisi: Chimbuko la jinai za Wazayuni Ghaza linarejea kwenye miaka 75 ya uvamizi wao
Mar 04, 2024 03:34Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kinachojiri leo Ghaza ni mauaji ya kimbari na uhalifu wa kivita, na chimbuko la jinai hiyo linarejea kwenye historia ya miaka 75 ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Wazayuni.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 12:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.