-
Kwa nini Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai inapinga uingiliaji wa kigeni nchini Iran?
Jan 16, 2026 22:59Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) imetangaza rasmi kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni nchini Iran.
-
Kwa nini Wamarekani waliowengi wanapinga wazo la Marekani kuimiliki Greenland?
Jan 16, 2026 11:50Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga vikali wazo la kuihodhi Greenland.
-
Ayatullah Khatami: Njama za kuigawa Iran kupitia machafuko zimefeli
Jan 16, 2026 08:53Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa nchini Tehran amesema kuwa, njama za maadui za kuigawa Iran kupitia mamluki wao kuzusha vurugu na machafuko hapa nchini zimefeli na kugonga mwamba.
-
Zoezi la kuhesabu kura Uganda linaendelea, Museveni anaongoza kwa zaidi ya 76%
Jan 16, 2026 07:45Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika Alkhamisi ya jana linaendelea huku matokeo ya awali yakionyesha kuwa, Yoweri Museveni rais wa sasa anaongoza kwa wingi wa kura.
-
Araqchi: Iran iko macho na imejiandaa dhidi ya uingialiaji wowote wa kigeni
Jan 16, 2026 07:44Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China wamesisitiza umuhimu wa kudumisha utulivu, kuheshimu uhuru wa nchi, na nafasi muhimu ya kidiplomasia katika kuzuia kuongezeka mizozo na mivutano.
-
Pakistan: Hatutaruhusu anga yetu itumiwe kwa ajili ya kuishambulia Iran
Jan 16, 2026 07:44Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa, katu haitataruhusu anga yake itumiwe kwa ajili ya kuishambulia kijeshi Iran.
-
Kenya yasaini makubaliano ya awali ya biashara na China
Jan 16, 2026 07:43Kenya imesaini makubaliano ya awali ya biashara na China ambayo yanaipa 98% ya mauzo yake ya nje ufikiaji usiotozwa ushuru katika soko kubwa la China. Hayo yameelezwa na serikali ya Nairobi huku makubaliano kamili na ya mwisho yakiendelea.
-
Iran, China na Russia zailaani Marekani kwa ghasia za karibuni nchini Iran
Jan 16, 2026 03:49Gholamhossein Darzi, Naibu Mwaklishi wa Kudumu wa Iran Umoja wa Mataifa ameikosoa vikali Marekani katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ghasia na machafuko yaliyoungwa mkono na nchi ajinabi dhidi ya Iran.
-
Jumuiya ya Shanghai yalaani ghasia za kigaidi nchini Iran huku uungaji mkono kimataifa ukiongezeka
Jan 16, 2026 03:48Norlan Yerkembayev Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) amelaani vikali hujuma za kigaidi na uharibifu wa hivi karibuni katika mji wa Tehran na miji mingine ya Iran iliyoathiriwa wakati wa maandamano ya amani ya wananchi.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Taifa la Iran limetibua njama ya adui kwa maandamano ya mamilioni ya wananchi
Jan 16, 2026 03:45Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Marekani na Israel ziliwaweka magaidi vibaraka wao ili kuchochea machafuko Iran kupitia kuchoma moto misikiti na kuuwa vikosi vya usalama na raia hata hivyo taifa la Iran limetoa jibu madhubuti kwa hujuma hiyo kwa maandamano makubwa ya mamilioni ya wananchi kote nchini kulaani ghasia na machafuko.