-
Namna mfumo wa Ubepari unavyowatumia wanawake kama nyenzo tu
Dec 10, 2025 23:07Mfumo wa Ubepari umekuwa siku zote ukiwatumia wanawake kama nyenzo tu za kuuwezesha kupata faida zaidi.
-
Rais Pezeshkian: Wanawake ndio wajenzi wa nchi na mustakbali
Dec 10, 2025 07:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba haifikiriki wanawake kuwa na hadhi na thamani duni na ya chini kuliko wanaume, akisisitiza kwamba: "Wanawake ndio nguzo za jamii na wajenzi wa nchi na mustakbali wake."
-
Wakenya watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kuwaanika mafisadi
Dec 10, 2025 06:47Mkuu wa Utumishi wa Umma nchini Kenya, Bw Felix Koskei, ametoa wito kwa Wakenya kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya ufisadi ambao kwa miaka mingi umeathiri utoaji wa huduma za serikali.
-
Marekani yachunguza vifo vinavyoshukiwa kuhusishwa na chanjo za virusi vya corona
Dec 10, 2025 06:45Wizara ya Afya na Huduma za Kibinadamu ya Marekani imetangaza kwamba Idara ya Chakula na Dawa (FDA) inafanya uchunguzi wa kina kuhusu vifo vinavyoweza kuhusishwa na chanjo za COVID-19, vinavyohusisha makundi mengi ya umri.
-
Sudan Kusini: Hatutaegemea upande wowote katika mzozo wa Sudan
Dec 10, 2025 06:44Naibu Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Sudan Kusini, Luteni Jenerali Johnson Olony, amesema nchi yake haitaegemea upande wowote katika mzozo unaoendelea katika nchi jirani ya Sudan.
-
Jukwaa la Afrika kuhusu wanawake, amani na usalama lafunguliwa Tunisia
Dec 10, 2025 05:36Jukwaa la Sita la Ngazi za Juu la Umoja wa Afrika kuhusu Wanawake, Amani na Usalama lilifunguliwa jana Jumanne nchini Tunisia, likisisitizia udhrura wa kuweko uratibu wa pande nyingi wa kukabiliana na changamoto za pamoja.
-
Shida na umasikini; urithi ambao utawala wa kizayuni umewaachia watu wake kutokana na vita vya Ghaza
Dec 10, 2025 04:24Matokeo ya uchunguzi uliofanywa na shirika moja la Kizayuni la utoaji huduma na misaada ya kibinadamu yanaonyesha kuwa, vita vya Ghaza vimewatumbukiza Wazayuni wengi zaidi kwenye lindi la umasikini; na zaidi ya robo ya familia, sasa zinakabiliwa na uhaba wa chakula.
-
Iran yahimiza hatua madhubuti za kimataifa za kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel
Dec 10, 2025 03:05Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za pamoja za kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ruto anasaka kura zaidi za Mlima Kenya uchaguzi wa 2027, ili kubakia Ikulu
Dec 10, 2025 03:04Ripoti kutoka Kenya zinasema, washirika wa Rais William Ruto wa nchi hiyo katika eneo la Mlima Kenya wamebuni mpango kabambe unaolenga kuhakikisha atapata angalau kura milioni mbili kumwezesha kurejea Ikulu katika uchaguzi wa 2027.
-
Ripoti ya Ujerumani: Waislamu na watu weusi wanasumbuliwa na ubaguzi wa kimfumo
Dec 10, 2025 02:50Ripoti ya Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Ubaguzi la serikali ya Ujerumani imefichua kwamba Waislamu na watu weusi wanaoishi nchini humo wanasumbuliwa na "ubaguzi wa kimfumo" kuhusu hali ya makazi.