-
Gabon inamshikilia Waziri wake wa utalii kwa madai ya ufisadi wa dola milioni 18
Dec 04, 2025 00:14Pascal Ogowé Siffon Waziri wa Utalii wa Gabon amewekwa katika kifungo cha nyumbani baada ya kukamatwa. Hatua hii imechukuliwa baada ya Waziri huyo wa Utalii wa Gabon kujaribu kuondoka Libreville.
-
Kiongozi Mkuu: Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha mantiki potofu ya Magharibi kuhusu mwanamke
Dec 03, 2025 10:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameashiria mwenendo wa Magharibi wa kukazania kueneza utamaduni wake potofu duniani na kueleza kwamba: "wao wanadai kuwa mipaka maalumu iliyowekwa kwa ajili ya mwanamke, ikiwemo hijabu, vitazuia maendeleo yake,
-
Azimio la UN: Israel inaikalia "kinyume cha sheria" Miinuko ya Golan ya Syria, iondoke kikamilifu
Dec 03, 2025 07:24Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotangaza kuwa, kuendelea Israel kuikalia kwa mabavu na kuiunganisha na upande wake Miinuko ya Golan ya Syria ni "kinyume cha sheria" na limeutaka utawala huo uondoke kikamilifu katika eneo hilo hadi kwenye mstari wa mpaka wa Juni 4, 1967.
-
Libya: Tutawatendea wakimbizi wa Sudan kama Walibya, watapatiwa huduma za skuli na hospitali
Dec 03, 2025 07:24Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza kasi ya kuwarejesha makwao wahamiaji wasio halali wa Kiafrika wa nchi za chini ya Jangwa la Sahara, lakini imesema, kwa upande wa wakimbizi wa Sudan watachukuliwa kama Walibya na kuruhusiwa kupata huduma za skuli na hospitali.
-
Papa Leo: Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya zinachochewa na wanaotaka kuwatenga wengine
Dec 03, 2025 07:18Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na zao.
-
Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali "takataka"
Dec 03, 2025 07:09Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi ya matusi ya kibaguzi dhidi yake na jamii ya Wasomali wa jimbo la Minnesota.
-
Je, kujitawala kiuchumi Niger kutakuwa pigo la mwisho kwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?
Dec 03, 2025 05:44Niger imeanza kuuza urani yake katika soko la kimataifa baada ya kukata mkono wa Ufaransa katika sekta ya madini hayo nchini humo.
-
Soko la ujenzi na nyumba Israel limeporomoka baada ya Vita vya Siku 12 na Iran
Dec 03, 2025 03:08Hivi karibuni mamlaka na vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kupata kipigo kikali kutokana na vita vya Ghaza na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya makombora ya Iran na kwamba kukiri huko kunaonesha kwamba makombora ya Iran hayakuvuruga tu milingano ya usalama, bali pia yamesambaratisha mshipa wa kiuchumi wa soko la nyumba la Israel.
-
Netanyahu amramba miguu Trump amuokoe na kitanzi cha kesi mahakamani
Dec 03, 2025 03:07Duru za kuaminika za Marekani na Israel zimefichua kuwa, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu amemuomba kwa kumsisitiza rais wa Marekani, Donald Trump afanye kila awezalo kuhakikisha kuwa anafutiwa kesi zake za ufisadi.
-
Umoja wa Mataifa: El Fasher Sudan kumefanyika jinai za kivita
Dec 03, 2025 03:06Mratibu wa Msuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan amesema mapema leo Jumatano kwamba maeneo mengi ya makazi ya raia nchini humo yamezingirwa na haiwezekani kuyafikishia misaada.