-
Marekani ina kiwewe cha kudukuliwa na Iran kombora lake la GBU-39B
Nov 27, 2025 02:30Marekani imeingiwa na kiwewe kikubwa cha kudukuliwa kombora lake la GBU-39B lililopatikana nchini Lebanon na kuziruhusu nchi zisizo rafiki kwake hasa Iran na Russia kupata teknolojia iliyotumika kwenye kombora hilo la kisasa na kuwa hatari kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Larijani: Vita vya siku 12 ni matokeo ya njama za miaka mingi za Marekani na Wazayuni
Nov 27, 2025 02:30Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza katika mkutano na wasomi wa Pakistan kwamba vita vya siku 12 ilivyolazimishwa Iran kupigana ni matokeo ya njama kubwa za Marekani na utawala wa Kizayuni na vilipangwa miaka mingi nyuma.
-
Israel yawapokonya simu za Android makamanda wake wa kijeshi
Nov 27, 2025 02:29Jeshi la Israel limeamua kuwapiga marufuku makamanda wake kutumia simu za Android kutokana na usalama mdogo uliomo kwenye simu zinazotumia mifumo hiyo.
-
Wakimbizi 115 wa Burundi warudishwa nyumbani kutokea Rwanda
Nov 27, 2025 02:29Wakimbizi 115 wa Burundi, ambao wengi wao walikuwa wamekimbilia Rwanda mwaka huu wa 2015 kutokana na machafuko ya kisiasa nchini mwao, wamerudishwa kwa hiari nchini Burundi. Hayo ni kwa mujibu wa Wizara ya Usimamiaji wa Masuala ya Dharura ya Rwanda.
-
Tunisia yamwita Balozi wa EU ili ajieleze kwa kukiuka itifaki ya kidiplomasia
Nov 27, 2025 02:28Rais Kais Saied wa Tunisia amemwita Giuseppe Perrone, balozi wa Umoja wa Ulaya nchini humo na kumtaka ajieleze kwa kufanya uchochezi na kutoheshimu itifaki za kidiplomasia. Hayo yametangazwa na Ikulu ya Rais mjini Tunis.
-
Guterres: UN inafuatilia hali ya Guinea-Bissau 'kwa wasiwasi mkubwa' baada ya jeshi kufanya mapinduzi
Nov 26, 2025 23:27Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anafuatilia matukio ya Guinea Bissau kwa wasiwasi mkubwa baada ya baada ya jeshi la nchi hiyo jana Jumatano kumuondoa madarakani Rais Umaro Sissoco Embalo wa nchi hiyo.
-
OXFAM: Nusu ya raia Sudan Kusini wanakabiliwa na njaa kali
Nov 26, 2025 22:59Shirika la OXFAM limetangaza kuwa, takriban watu milioni sita wanakabiliwa na baa la njaa kali Sudan Kusini, idadi ambayo ni sawa na nusu ya raia wote nchini humo.
-
Mkutano wa Luanda: Ulaya na Afrika zakubaliana kushirikiana zaidi
Nov 26, 2025 22:58Mataifa ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika yamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa Angola, Luanda.
-
Rais wa China: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu Gaza
Nov 26, 2025 22:57Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza
-
UNAIDS: Kupunguzwa misaada ya kigeni kumeua watu na kuwaacha mamilioni bila dawa
Nov 26, 2025 22:56Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, juhudi za kimataifa za kupambana na ukimwi zimepitia hali ngumu kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili kimataifa.