-
Kwa nini Macron anaamini kuwa G20 inakaribia kuporomoka?
Nov 24, 2025 04:24Katika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa G20 mjini Johannesburg, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisema katika hotuba isiyo ya kawaida kuwa kundi hilo limepoteza uwezo wake wa kutatua migogoro ya kimataifa.
-
Israel yatenda jinai nyingine kwa kumuua shahidi kamanda wa Hizbullah
Nov 24, 2025 03:47Utawala vamizi wa Israel umetenda jinai nyingine kwa kumuua shahidi Haitham Ali Tabatabaei kamanda wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
Nov 24, 2025 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Oman Badr Al-Busaidi mjini Muscat Jumapili jioni na kujadili masuala mbalimbai yakiwemo ya uhusiano wa pande mbili na matukio muhimu ya kikanda.
-
Rais Erdogan: Amani haiwezi kupatikana pasi na kuundwa taifa la Palestina
Nov 24, 2025 03:46Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina.
-
Rais wa Uturuki: Amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina
Nov 24, 2025 03:44Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina.
-
Danny Citrinowicz: Ushawishi wa vyombo vya habari vya Iran barani Afrika umeongezeka
Nov 24, 2025 03:44Mtafiti mkuu wa Mpango wa Iran katika Taasisi ya Utafiti wa Usalama wa Taifa ya Israel (INSS) ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa ushawishi wa vyombo vya habari vya Iran barani Afrika na matokeo yake ya muda mrefu dhidi ya maslahi ya utawala wa Kizayuni barani humo.
-
Wanafunzi 50 kati ya 300 waliotekwa Nigeria wafanikiwa kutoroka
Nov 24, 2025 03:41Wanafunzi 50 kati ya 300 waliotekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha kwenye jimbo la katikati mwa Nigeria la Niger, wamefanikiwa kuwatoroka watekaji wao.
-
Tehran: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni 'doa la fedheha' kwa watayarishaji wake
Nov 23, 2025 23:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani azimio lililopitishwa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran na kulitaja kuwa "doa la fedheha" kwa wafadhili wa azimio hilo.
-
Guterres: Afrika itagharamika pakubwa licha ya kuchangia kidogo sana mabadiliko ya tabianchi
Nov 23, 2025 23:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema kuwa Afrika italipa "gharama kubwa" kutokana na athari mbaya za mabadiliko ya tabianchi licha ya kuhusika kwake kwa kiwango kidogo sana katika mabadiliko hayo.
-
Kumbukumbu ya Uhalifu wa Magharibi - Wounded Knee Massacre; Mauaji ya Wahindi Wekundu huko South Dakota, 1890
Nov 23, 2025 23:49Mauaji makubwa ya Wounded Knee Massacre hapo 1890 huko South Dakota, Marekani, yalikuwa mojawapo ya ukatili wa umwagaji damu mkubwa zaidi dhidi ya Wahindi Wekundu katika historia ya Marekani, ambayo yalisababisha mauaji ya mamia ya watu wa jamii ya Lakota na kukomesha mapambano yao makubwa katika karne ya 19.