-
Spika wa Bunge la Iran: Wauaji wa mashahidi wa nchi hii watapata malipo ya uhalifu wao
Jul 07, 2026 09:39Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa mashahidi wa nchi hii watawajibishwa na watapata adhabu inayostahili kwa matendo yao.
-
Umoja wa Mataifa wataka uchunguzi wa haraka al-Obeid nchini Sudan
Jul 07, 2026 08:47Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limeamuru uchunguzi wa haraka ufanyike kuhusu unyanyasaji unaoendelea katika mji wa al-Obeid nchini Sudan.
-
Semina ya kumuenzi Imam Shahidi Khamenei yafanyika nchini Tanzania
Jul 07, 2026 08:38"Wakati wananchi nchini Iran wakifanya marasimu ya kuaga na mazishi ya mwili wa ‘Shahidi wa Iran’ Imam Khamenei, wapenzi wake nchini Tanzania pia waliandaa matukio mbalimbali ya maombolezo kwa ajili ya kuomboleza kifo cha shahidi cha Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu."
-
Wairaqi wasubiri kwa hamu kupokea mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 07, 2026 04:34Wakati ukikaribia kwa ajili ya kufanyika mazishi ya mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika miji ya Najaf Ashraf na Karbala Mualla, Iraq inashuhudia maandalizi makubwa yasiyokuwa ya kawaida yanayohusisha serikali, wananchi, viongozi wa makabila, vikosi vya usalama na taasisi za huduma.
-
‘Zungumza kwa heshima, Bw. Trump; la sivyo Wairani watajibu kwa lugha tofauti’: Mkuu wa usalama Iran amwambia Trump
Jul 07, 2026 03:30Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran (SNSC), Mohammad Baqer Zolqadr, ametoa jibu madhubuti kwa vitisho vya hivi karibuni vya Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya taifa la Iran, akisisitiza kwamba Tehran haitavumilia lugha isiyo na heshima na itajibu ipasavyo ikiwa italazimu.
-
HRW yaishutumu mamlaka ya Tigray kwa kuajiri watu kwa nguvu jeshini
Jul 07, 2026 03:27Shirika la kutetea hazi za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetangaza kuwa, mamlaka za kikanda katika eneo la kaskazini mwa Tigray nchini Ethiopia zimekuwa zikiwateka nyara na kuwaajiri raia kinyume cha sheria hasa watoto wenye umri wa miaka 15, tangu Aprili 2026.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Austria: Iran sasa ni dola kubwa lenye ushawishi
Jul 07, 2026 03:25Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Austria amesema, akiashiria nafasi ya ustaarabu wa maelfu ya miaka wa Iran katika historia ya dunia, kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa sasa imegeuka kuwa moja ya mataifa makubwa yenye ushawishi katika ngazi ya kimataifa.
-
Idadi ya vifo kutokana na maradhi ya Ebola DRC vyafikia 506
Jul 07, 2026 03:21Idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeongezeka na kufikia 506.
-
Tehran katika Maombolezo na Hamasa: Msafara wa Mazishi wa Mamilioni ya Watu kwa ajili ya Kiongozi Shujaa, Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 06, 2026 17:20Msafara mkubwa usio na mfano wake wa mazishi adhimu na ya kihistoria ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu yamefanyika Jumatatu Tehran mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 300 wapoteza maisha au kujeruhiwa katika vita vya Sudan kwa kipindi cha miezi sita
Jul 06, 2026 10:31Zaidi ya watoto 300 wameuawa au kujeruhiwa nchini Sudan katika kipindi cha miezi sita iliyopita, huku mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (drones) yakiwa chanzo kikuu cha vifo na majeraha hayo. Hayo yamefichuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia watoto (UNICEF) wakati mapigano yakizidi kuenea katika sehemu mbalimbali za nchi hiyo ya Afrika.