-
Pezeshkian: Kufa shahidi Ayatullah Khamenei kumetoa msukumo kwa Waislamu kudumisha umoja
Jul 05, 2026 11:15Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu hayati Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, na kuuawa kwake shahidi, vimewapa Waislamu kote duniani hamasa katika harakati zao za kudumisha umoja na mshikamano.
-
Maafisa wa muqawama wafanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran pambizoni mwa mazishi ya Kiongozi Shahidi Khamenei
Jul 05, 2026 11:10Maafisa kutoka harakati ya muqawama wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, na kuwasilisha salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika mashambulizi ya kigaidi a Marekani na Israel dhidi ya Iran Februari 28 mwaka huu.
-
Harakati ya Ansarullah yalaani vitisho vya muungano wa Saudi Arabia; yasema ni ishara ya kushindwa Riyadh
Jul 05, 2026 11:04Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vitisho vya hivi karibuni vya muungano unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen, akisema kuwa vinafichua kufeli Riyadh kisiasa na kijeshi pamoja na kushindwa kwake kusambaratisha mapambano ya Yemen licha ya nchi hiyo kuathirikwa kwa miaka mingi na vita na mzingiro.
-
Dakta Abu Safiya anakabiliwa na hali mbaya katika gereza la Israel
Jul 05, 2026 11:00Shirika la Kimataifa la Haki za binadamu limearifu kuwa Dakta Hussam Abu Safiya, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza ambaye amekuwa mikononi mwa Israel tangu mwaka 2024 anakabiliwa na tishio kubwa kwa maisha yake.
-
Korea Kaskazini yalifanyia majaribio kombora la kimkakati la kruzi na silaha nyingine
Jul 05, 2026 10:57Korea Kaskazini imelifanyia jaribio kombora la kimkakati la kruzi na silaha nyingine kutoka katika meli yake mpya ya kivita ya Kang Kon yenye yenye uzito wa tani 5,000 na refu wa mita 140. Shirika Kuu la Habari la Korea Kaskazini KCNA leo limetangaza kuwa Kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un alisimamia majaribio hayo siku ya Ijumaa.
-
Taifa Lamuaga kwa Hamasa Kiongozi Shahidi: Dhihirisho la Nguvu na Umoja Dhidi ya Maadui
Jul 05, 2026 10:46Huku taifa la Iran likimuaga kwa hamasa Kiongozi wake wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, tukio hili limeakisi wazi na kwa mara nyingine mandhari ya kuvutia ya umoja, kusimama imara, na mwamko wa kina wa Umma wa Kiislamu.
-
Mamilioni wauswalia mwili wa Kiongozi Shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mjini Tehran
Jul 05, 2026 07:15Mamilioni ua waombolezaji wameshikiri Swala ya maiti ya mwili mtakatifu wa Imam shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, pamoja na kundi la wanafamilia wake watukufu iliyofanyika kwa uwepo mkubwa wa viongozi wa serikali, jeshi na umma kwa ujumla.
-
Rais Pezeshkian: Utawala wa Kizayuni ndio chanzo kikuu cha migogoro na ukosefu wa utulivu Asia Magharibi
Jul 05, 2026 03:50Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya mashambulizi dhidi ya nchi kadhaa za eneo la Asia Magharibi na umekuwa chanzo cha migogoro mingi pamoja na hali ya ukosefu wa usalama, huku akibainisha kwamba, nchi za Kiislamu hazijawahi kuanzisha mashambulizi ya aina hiyo.
-
Wizara ya Usalama ya Iran yaahidi kulipiza kisasi ajili ya damu ya Kiongozi aliyeuawa shahidi
Jul 05, 2026 03:49Wizara ya Usalama ya Iran imeapa kulipiza kisasi damu ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, ikisisitiza kuwa mioyo iliyojeruhiwa ya wananchi wa Iran na wapenda uhuru duniani kote haitapata faraja yoyote isipokuwa kwa kulipiza kisasi dhidi ya wahusika.
-
Hamas: Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa' ilibadilisha milinganyo yote ya kisiasa na kijeshi
Jul 05, 2026 03:46Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Kisiasa na Vyombo vya Habari cha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nchini Lebanon amesema kuwa 'Operesheni ya 'Kimbunga cha Al-Aqsa' ilibadilisha milinganyo yote ya awali ya kisiasa na kijeshi, huku akisisitiza kuwa istiqama na mapambano ya taifa la Palestina vinapaswa kuenziwa kwa siku 1,000 baada ya kuanza operesheni hiyo kubwa dhidi ya Israel.