-
Burkina Faso yavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa, yaituhumu kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Jun 27, 2026 10:47Burkina Faso imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa, na hivyo kuwa taifa jipya zaidi la Afrika Magharibi kujitenga na aliyekuwa mtawala wake wa kikoloni baada ya miaka ya kuzorota kwa mahusiano kati ya pande hizo mbili.
-
Kwa nini Mwavuli wa Usalama wa Marekani Umeshindwa Kufikia Malengo Yaliyokusudiwa?
Jun 27, 2026 10:21Katika taarifa yake, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeelezea misimamo iliyotangazwa katika taarifa ya pamoja ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi tarehe 25 Juni, kuwa ni ya uingiliaji, kutowajibika na ya kichochezi.
-
Madai ya Uongo Kuhusu Kufikiwa Malengo ya Marekani katika Vita Dhidi ya Iran
Jun 27, 2026 05:20J.D Vance, Makamu wa Rais Donald Trump wa Marekani, amedai kuwa malengo yote yaliyotangazwa na utawala wa nchi hiyo na hasa ya kijeshi na ya nyuklia katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Iran yamefikiwa. Vance amedai kuwa Marekani imefanikiwa kufikia yale yote iliyokuwa imepanga kuyafikia kwa kutumia uwezo wake wa kiuchumi, kidiplomasia na kijeshi.
-
IRGC yashambulia ngome za jeshi la Marekani kulipiza kisasi shambulio dhidi ya maeneo ya pwani ya Iran
Jun 27, 2026 03:24Kikosi cha Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimeshambulia ngome za kijeshi za Marekani katika eneo la Magharibi mwa Asia kulipiza kisasi uchokozi wa awali dhidi ya maeneo ya pwani ya Iran.
-
Majeshi ya Iran yaonya kuhusu jibu kwa tishio lolote la Israel
Jun 27, 2026 03:01Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran imeonya kwamba Jamhuri ya Kiislamu itajibu “hatua hatari” za Israel katika anga za baadhi ya nchi jirani.
-
Kiongozi wa Hizbullah: Israel italazimika kuondoka Lebanon “ikiwa imedhalilika”
Jun 27, 2026 02:59Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, amesema kuwa Israel italazimika kuondoka bila masharti katika kila sehemu ya ardhi ya Lebanon, ikiwa “imeshindwa na kudhalilika.”
-
Iran yalaani taarifa ya kichochezi ya nchi za Ghuba ya Uajemi na Marekani
Jun 27, 2026 02:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali taarifa ya pamoja ya Marekani na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P-GCC), ikiitaja kuwa ni “ya kuingilia mambo ya wengine, isiyo ya kuwajibika, na ya kichochezi,” huku ikizionya nchi za eneo hilo dhidi ya kuendelea kushirikiana kwa misimamo ya uadui na Washington.
-
Katibu Mkuu UN: Jitihada zaidi zinahitajika kutokomeza matumizi ya mihadarati
Jun 27, 2026 02:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha juhudi za kukabiliana na matumizi ya dawa za kulevya na biashara haramu ya dawa hizo, akionya kuwa tatizo hilo linaendelea kusababisha madhara makubwa kwa watu na jamii duniani kote.
-
Araqchi: Hatutasahau wala hatutasamehe mauaji ya Sayyidi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 26, 2026 11:23Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema katika ujumbe wake kwamba: "Kuuliwa shahidi Sayyid na kinara wa mashahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu hakutasahaulika wala hakutasamehewa."
-
Ansarullah yatishia kushambnulia vituo vyovyote vya Israel katika eneo la Somaliland
Jun 26, 2026 11:20Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kwamba atashambulia uwepo wowote wa Israel katika eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland kwa njia zote zinazowezekana, akisisitiza kwamba Yemen "haitakaa kimya mbele ya uwepo wowote wa Israel huko Somaliland, na haitawasubiri waoga."