-
Oxfam yaonya kuhusu janga la binadamu Gaza
Jul 24, 2025 23:02Shirika la kimataifa la Oxfam limeonya kuwa, maafa ya binadamu katika Ukanda wa Gaza yamefikia kiwango kisicho na kifani na njaa imeenea katika eneo zima.
-
Haaretz: Gaza imeharibiwa zaidi kuliko Hiroshima
Jul 24, 2025 08:38Katika ripoti ya kushtua iliyotegemea simulizi, picha za satelaiti na takwimu za Umoja wa Mataifa, gazeti la Israel limetangaza kuwa Gaza imeharibiwa zaidi kuliko miji ya Hiroshima na Nagasaki baada ya mashambulizi ya mabomu ya atomiki ya Marekani dhidi ya Japan.
-
HAMAS yakabidhi mapendekezo yake kuhusu makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Jul 24, 2025 03:22Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema katika taarifa iliyotoa mapema leo kwamba "imewasilisha majibu yake na yale ya makundi ya Wapalestina" kwa wapatanishi baada ya majuma kadhaa ya mazungumzo ya kusitisha mapigano yaliyoshindwa kuzaa matunda.
-
Zaidi ya makundi 100 ya misaada yatahadharisha njaa kali Gaza
Jul 23, 2025 23:20Zaidi ya mashirika 100 ya misaada ya kimataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yametahadharisha kuhusu njaa kali katika Ukanda wa Gaza na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti kukabiliana na hali hiyo.
-
Maafisa wa Palestina, mwanaharakati wa Ghana walaani amani ya uongo na uvamizi wa Israel
Jul 23, 2025 23:19Maafisa wa Palestina na mwanaharakati wa Ghana wamelaani unyama wa utawala wa kizayuni wa Israel huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na jinai za kila uchao zinazofanywa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Brigedi za al Qassam zashambulia makao makuu ya jeshi la Israel
Jul 23, 2025 07:33Brigedi za Izzudin Qassam, ambalo ni tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimetangaza kuwa zimeshambulia kwa roketi makao makuu ya jeshi la Israel.
-
Hunter Biden: Netanyahu anataka kuchochea vita ili kuhepa kuswekwa jela
Jul 23, 2025 07:29Hunter Biden mwana wa kiume wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amemkosoa vikali Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Afisa wa UN: Israel inawasababishia njaa kwa makusudi watu wa Gaza
Jul 23, 2025 00:20Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu anasema utawala wa Israel unawaua kwa makusudi watu wa Gaza na kupuuza maagizo ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ya kusitisha jinai zake.
-
Wanajeshi wa Israel wawauwa shahidi Wapalestina 77 katika siku moja pekee
Jul 22, 2025 10:14Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Katika muda wa saa 24 zilizopita, raia 77 wa Palestina wameuawa shahidi na wengine 376 kujeruhiwa katika mashambulizi ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
WFP: Theluthi moja ya watu wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro wa Israel
Jul 22, 2025 06:35Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, theluthi moja ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro unaoendelea kuwekwa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye eneo hilo la Palestina.