-
UNICEF: Kwa akali watoto 74 wameuawa Gaza katika wiki ya kwanza ya mwaka huu
Jan 10, 2025 03:32Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa la (UNICEF) umetangaza kuwa, kwa akali watoto 74 wameuawa shahidi huko Gaza katika siku saba za kwanza za mwaka huu mpya wa 2025 kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya jeshi la Israel.
-
Kiongozi wa Ansarullah awakosoa walimwengu kwa kupuuza maafa ya Wapalestina
Jan 10, 2025 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa kimya na kutojali nchi tofauti za dunia hali ya njaa na mauaji ya kimbari yanayowakabili Wapalestina.
-
Wabunge wa Uingereza wataka kushtakiwa Waziri Mkuu wa Israel
Jan 09, 2025 23:09Wabunge wa Uingereza wametoa mwito wa kushtakiwa na kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kutokana na kutenda jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza Palestina.
-
UNRWA: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina
Jan 09, 2025 22:58Kamishna Mkuu wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema, kuundwa kwa taifa huru la Palestina ndio suluhisho la matatizo ya eneo hilo.
-
Mafanikio ya kiusalama ya al Hashdul Shaabi katika mapambano dhidi ya ISIS
Jan 09, 2025 22:57Wakati Marekani ikijaribu kuzidisha mashinikizo kwa serikali ya Iraq ili kusitisha shughuli za vikosi vya wapiganaji wa kujitolea vya wananchi maarufu kama al Hashdul Shaabi, vyanzo vya usalama katika jimbo la Anbar nchini humo vimeripoti kwamba, vikosi vya wapiganaji hao vimefanikiwa kuizima harakati mpya ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Joseph Aoun achaguliwa rais mpya wa Lebanon na kuhitimisha miaka miwili ya mkwamo
Jan 09, 2025 10:11Wabunge wa Lebanon wamemchagua mkuu wa majeshi Joseph Aoun kuwa rais mpya wa nchi hiyo, na hivyo kuhitimisha mkwamo wa kisiasa ulioendelea kwa miaka miwili katika nchi hiyo ya Kiarabu inayozongwa na migogoro.
-
UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa
Jan 09, 2025 02:39Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya ulichokiita "hatari halisi" inayokabili uhuru na kujitawala kwa Syria kufuatia kuanguka ghafla utawala wa zamani wa nchi hiyo.
-
Ni upi msimamo wa Iran kuhusu mfumo wa kisiasa na usalama nchini Syria?
Jan 08, 2025 23:06Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza tena umuhimu wa kuheshimiwa chaguo la wananchi wa Syria na kupinga uingiliaji wa pande za kimataifa katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Wapalestina wengine 49 wauawa shahidi Gaza
Jan 08, 2025 03:46Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, raia wasiopungua 49 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Wazayuni katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza kuanzia Jumanne asubuhi hadi jana usiku.
-
Mamilioni ya watu nchini Afghanistan wanakabiliwa na uhaba wa Chakula
Jan 08, 2025 03:44Maisha ya mamilioni ya raia nchini Afghanistan yapo hatarini kutokana na uhaba mkubwa wa chakula na ukosefu wa vifaa vya kukabiliana na baridi kali.