-
Waziri Mkuu wa Lebanon: Lazima Israel iondoke kikamilifu kusini mwa Lebanon kabla ya Januari 26
Jan 08, 2025 00:00Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Miqati amesema Beirut imefikisha "salamu za wazi kabisa" kwa waangalizi wa kimataifa wa makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel kwamba utawala huo wa Kizayuni lazima uondoe kikamilifu vikosi vyake kusini mwa Lebanon kabla ya mwisho wa Januari.
-
Hamas inataka iundwe 'serikali ya makubaliano ya kitaifa' huko Gaza
Jan 07, 2025 23:13Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Palestina ,Hamas, amesema kundi hilo linataka iundwe serikali ya maridhiano ya kitaifa katika Ukanda wa Gaza.
-
Mashtaka dhidi ya askari wa Kizayuni duniani
Jan 07, 2025 23:05Kufuatia kutoroka askari wa jeshi la Kizayuni kutoka Brazil na kuwasilishwa malalamiko na mashtaka mengi katika nchi zisizopungua 10 za dunia, kumewekwa mbinyo wa safari za nje za askari wa Kizayuni na shughuli zao katika mitandao ya kijamii.
-
Kocha mwanamke wa Futsal Iran aingia katika orodha ya makocha kumi bora duniani
Jan 07, 2025 09:17Kocha mwanamke wa timu ya Futsali ya Saipa Iran ameng'ara na kuuingia katika orodha ya makocha kumi bora duniani katika chezo wa Futsal.
-
Wazayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Jan 07, 2025 08:47Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti mtakatifu wa wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Mashinikizo kwa serikali ya Iraq ya kuvunja Hashd al-Shaabi
Jan 07, 2025 07:20Mashinikizo ya kigeni hususan kutoka Marekani yameongezeka kwa serikali ya Iraq ili kuivunja Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Takribani misikiti 1000 imebomolewa katika vita vya Gaza
Jan 06, 2025 23:13Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Palestina imetangaza katika ripoti yake kuwa, utawala wa Kizayuni umebomea kabisa au sehemu misikiti 966 ya Ukanda wa Gaza katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Gazeti la Kizayuni lakiri, makombora ya Wayemeni ni hatari
Jan 06, 2025 23:13Gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post limekiri kuwa makombora ya Yemen yana uwezo wa hali ya juu.
-
Ni zipi njama mpya za Uzayuni dhidi ya Iraq na kanda hii?
Jan 06, 2025 10:44Nouri al-Maliki kiongozi wa Muungano wa Serikali ya Sheria wa Iraq ametahadharisha juu ya mpango wa kutaka kuligawa eneo la Asia Magharibi na njama dhidi ya Iraq.
-
Wazayuni 3 waangamizwa katika oparesheni ya Ukingo wa Magharibi
Jan 06, 2025 09:44Duru za habari zimearifu kuwa Wazayuni watatu wameangamizwa katika oparesheni iliyofanywa dhidi ya wavamiizi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan.