-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah: Sababu na matokeo yake
May 08, 2024 22:54Katika hali ambayo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kukubaliana na mpango wa usitishaji vita wa Misri na Qatar, utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha mashambulizi makali dhidi ya mji wa Rafah huko Ukanda wa Gaza.
-
Misri: Jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya Israel katika mji wa Rafah
May 08, 2024 08:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Sameh Shukry ameeleza haya katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Ufaransa katika Masuala ya Lebanon.
-
Kujiweka tayari Wayemen kwa ajili ya kuuzingira utawala wa Kizayuni baharini
May 08, 2024 04:43Tovuti ya habari ya Ansarullah ya Yemen imeripoti kuwa, jeshi la nchi hiyo limeanza kuratibu operesheni ya pili ya awamu ya nne ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni sambamba na kuanza mashambulizi ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika mji wa Rafah.
-
Utawala wa Israel wawazuia wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuingia Rafah
May 08, 2024 02:22Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawazuia wafanyakazi wa umoja huo kuingia katika kivuko cha Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina 20 wauawa shahidi katika muendelezo wa unyama wa Wazayuni huko Gaza
May 07, 2024 08:05Wapalestina 20 wameuawa shahidi kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Hatutaondoka Rafah hata kwa maafa yatakayosababishwa na uvamizi wa Israel
May 07, 2024 03:08Huku kukiwa na ripoti kwamba Wapalestina 100,00 wameamriwa kuhama Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kabla ya uvamizi wa kijeshi uliopangwa kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel, mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayotoa huduma za kibinadamu yamesisitiza kuwa hayana nia ya kuondoka katika mji huo muhimu zaidi kwa mahitaji ya misaada ya kibinadamu.
-
Mpira katika uwanja wa Israel kuhusu kusitisha mapigano Gaza
May 07, 2024 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniyah amemfahamisha kuhusu jibu la Hamas kwa pendekezo la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wasema 'mifumo yenye nguvu zaidi' imeshindwa kukabiliana na Wayemen
May 06, 2024 08:39Kamanda wa operesheni za kikosi cha wanamaji cha Umoja wa Ulaya amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa kijeshi wa Yemen katika eneo la Bahari Nyekundu.
-
Kambi ya Muqawama, ngao kuu ya kuzuia hujuma za utawala wa Kizayuni katika eneo
May 06, 2024 03:58Vikosi vya mapambano na Muqawama vya Bahrain vimefanikiwa kuvilenga vituo muhimu sana vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel; na kwa kuungana na makundi mengine ya kambi ya Muqawama, kuwa sehemu ya ngao kuu ya kuzuia hujuma na uchokozi wa utawala huo ghasibu katika eneo.
-
Askari 3 wa Israel waangamizwa katika shambulio la HAMAS
May 06, 2024 03:42Wanajeshi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.