-
Mwanamke mjamzito, watoto 10 ni miongoni mwa Wapalestina waliouawa hivi karibuni na Israel
Apr 21, 2024 08:09Jeshi katili la Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Rafah, na kuwauwa takriban watu 16, akiwemo mama mjamzito, katika mji huo wenye msongamano mkubwa wa watu kusini mwa Gaza.
-
Kukandamizwa nchini Marekani wanafunzi wanaounga mkono Palestina
Apr 21, 2024 08:00Polisi ya New York imewakamata zaidi ya wanafunzi 100 wanaounga mkono Palestina katika Chuo Kikuu cha Columbia ikiwa ni hatua ya wazi ya kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Abdul Malik al Houthi: Saudia imeondoa aya za Qur'ani katika vitabu vya kiada ili kuwaridhisha Wazayuni
Apr 21, 2024 04:34Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wameondoa baadhi ya mafundisho ya Qur'ani katika progamu za kufundishia mashuleni ili kuwaridhisha Wazayuni.
-
Haniyeh: Marekani inailinda kisiasa Israel mkabala wa mauaji ya kimbari ya utawala huo
Apr 21, 2024 04:22Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas ameikosoa Marekani kwa kuzuia kutambuliwa taifa la Palestina katika Umoja wa Mataifa, akiishutumu Washington kuwa inaipatia Israel ulinzi wa kisiasa kwa mauaji ya kimbari dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Kaburi la halaiki lenye miili 50 lagunduliwa katika eneo la Hospitali ya Nasser, Ghaza
Apr 20, 2024 23:59Kitengo cha Huduma za Dharura katika Ukanda wa Ghaza kimefukua miili ya Wapalestina 50 kutoka kwenye kaburi la halaiki lililogunduliwa katika eneo la Hospitali ya Nasser iliyoko mjini Khan Younis, wiki mbili baada ya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika eneo hilo.
-
Watu 1,000 kushiriki katika Ufikishaji Misaada ya Kibinadamu Gaza
Apr 20, 2024 22:51Maandalizi yanaendelea na Muungano wa Kimataifa wa Msafara wa Meli wa Uhuru, unaoundwa na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka nchi kadhaa, ili kupeleka misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza unaokabiliwa na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
Mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza na uwezekano wa Qatar kuangalia upya sera zake za kigeni za usuluhishi
Apr 20, 2024 22:47Muhammad bin Abdulrahman Al Thani Waziri Mkuu wa Qatar amesema kuwa nchi hiyo inatathmini upya nafasi yake kama msuluhishi kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi kutokana na Israel kuendeleza mashambulizi Ghaza
Apr 20, 2024 07:40Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, Wapalestina wengine 37 wameuawa shahidi na 68 wajeruhiwa katika muda wa saa 24 zilizopita, wakati jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lilipoendeleza mashambulizi yake kwenye Ukanda wa Ghaza uliozingirwa.
-
Hizbullah ya Lebanon yafanya mashambulio sita dhidi ya ngome na vituo vya kijeshi vya Israel
Apr 20, 2024 07:12Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umefanya mashambulio sita dhidi ya ngome na vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Harakati ya Kiislamu Iraqi yashambulia mji wa Eilat
Apr 20, 2024 04:46Harakati ya Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia maeneo muhimu katika mji wa Eilat, ulioko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.