-
Tofauti ya Siku ya Quds ya mwaka huu na ya miaka iliyopita
Apr 02, 2024 22:43Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu inakaribia katika hali ambayo siku hiyo itakuwa tofauti kabisa na siku nyingie za Quds za karne hii ya 21.
-
Kwa mara nyingine, Oman yalaani shambulio la Israel kwenye ubalozi wa Iran
Apr 02, 2024 06:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjiini Damascus Syria. Kabla ya hapo Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman iliikuwa imetoa taarifa rasmi ya kulaani shambuliizi hilo la kigaidi.
-
Jeshi la Kizayuni laendeleza mashambulizi ya kinyama katika makazi ya raia Ghaza
Apr 02, 2024 03:58Sambamba na kukaribia mwezi wa sita wa mashambulizi ya kikatili na kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, hujuma za mashambulio ya mabomu na makombora ya jeshi la utawala huo katika maeneo ya makazi ya watu yangali yanaendelea.
-
Baada ya kufanya unyama mkubwa kwa majuma 2, jeshi la Israel laondoka Hospitali ya Al-Shifa
Apr 01, 2024 23:19Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeondoka ndani ya Hospitali ya Al-Shifa na maeneo ya jirani magharibi mwa Mji wa Ghaza mapema jana Jumatatu na kuacha majeruhi wengi na uharibifu mkubwa katika hospitali hiyo na viunga vyake.
-
Askari wa Israel wakiri, wengi waliowaua Ghaza kama 'magaidi' ni raia wa kawaida
Apr 01, 2024 23:18Maafisa na askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kuwa akthari ya vifo vilivyoelezewa na jeshi hilo kuwa ni vya kuua "magaidi" wakati wa vita vyake dhidi ya Ukanda wa Ghaza, kiukweli hasa ni vya mauaji ya raia wa kawaida.
-
Sababu za utawala wa Kizayuni kulazimisha vita katika upande wa kaskazini
Apr 01, 2024 22:49Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, amesema kwamba utawala huo haramu utapanua operesheni zake za kijeshi katika eneo la kaskazini la ardhi zinazokaliwa kwa mabvu na kushambulia kila sehemu ya Beirut na Damascus ambapo Hizbullah ya Lebanon inaendeshea shughuli zake.
-
Hamas: Kuanzisha maeneo ya kunyonga watu huko Gaza ni uhalifu wa kikatili wa kivita
Apr 01, 2024 07:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba, kilichofichuliwa na vyombo vya habari vya Israel kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo ya kuanzishwa "maeneo ya kunyonga watu" katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtu yeyote anayetembea katika maeneo hayo anauawa, ni jinai ya kikatili ya kivita.
-
Kwa mara nyingine, Hizbullah yazitwanga kwa mizinga kambi za kijeshi za Israel
Apr 01, 2024 03:23Wanamapambano wa Kiislamu wa nchini Lebanon kwa mara nyingine wamezitwanga kwa mizinga kambi za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel kujibu jinai na mauaji ya umati yanayofanywa na Wazayuni huko Ghaza, Palestina.
-
Makundi ya ukombozi ya Palestina: Hatutaruhusu jeshi lolote la kimataifa au la Kiarabu kuingia Gaza
Mar 31, 2024 23:52Makundi ya ukombozi ya Wapalestina yametangaza kuwa jeshi lolote la kimataifa au la Kiarabu litakaloingia katika Ukanda wa Gaza halikubaliki na litatambuliwa kuwa ni jeshi vamizi.
-
Wapalestina zaidi ya 400 wameuawa shahidi katika hospitali ya al Shifa iliyozingirwa
Mar 31, 2024 08:03Vyombo vya habari kutoka Ukanda wa Gaza vimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 400 wameuawa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Hospitali ya al Shifa ambayo inaendelea kuzingirwa na utawala wa Kizayuni kwa siku ya 13 sasa.