-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni lazima ufutwe katika eneo
Aug 23, 2023 06:50Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria hatari ya utawala wa Kizayuni kwa jamii ya mwanadamu na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kufutwa katika uso wa eneo la Asia Magharibi.
-
UN: Ripoti za mauaji ya mamia ya wahajiri wa Kiafrika huko Saudi Arabia zinatia wasiwasi
Aug 23, 2023 02:47Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ripoti zinazohusiana na mauaji ya wahajiri wa Kiethiopia kwa kupigwa risasi na walinzi wa mipaka wa Saudi Arabia, zinatia wasiwasi na zina tuhuma nzito sana.
-
OIC yatoa wito wa kulindwa Msikiti wa Al-Aqsa
Aug 22, 2023 23:06Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeisitiza umuhimu wa kulindwa hadhi ya kihistoria na kisheria ya maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo huko al-Quds (Jerusalem).
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 22, 2023 07:05Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Waziri wa Utamaduni wa Lebanon: Filamu ya "Barbie" ni tishio kwa taasisi ya familia
Aug 22, 2023 04:12Waziri wa Utamaduni wa Lebanon amesema filamu ya sinema ya "Barbie" inaeneza mawazo na fikra hatari na ni tishio kwa mfumo wa uumbaji.
-
Arab League: Jamii ya Kimataifa iingilie kati haraka hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa
Aug 22, 2023 03:58Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa wito wa kuingilia kati Jamii ya Kimataifa ili kukomesha hujuma na uvamizi wa mara kwa mara unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Quds na Msikiti wa Al-Aqsa.
-
UN: Vitongoji vyote vya Wazayuni Ukingo wa Magharibi ni vitongoji haramu
Aug 21, 2023 23:06Mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa katika mchakato wa amani wa "Mashariki ya Kati" amesema kuwa, vitongoji vyote vilivyojengwa na Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina ni haramu na havitambuliwi.
-
Walinzi wa Mipakani wa Saudia Watuhumiwa kuwaua mamia ya wahamiaji wa Kiafrika
Aug 21, 2023 06:47Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudia kuwa wamefanya mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka wa Yemen.
-
Walowezi 32 Waisraeli wameangamizwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Wapalestina tangu Januari
Aug 21, 2023 03:36Takriban walowezi 32 Waisraeli wameripotiwa kuuawa tangu mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu tangu mwaka 1948, huku kukiwa na ongezeko kubwa la mashambulizi ya kijeshi ya utawala katili wa Israel na mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali dhidi ya Wapalestina.
-
Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara
Aug 21, 2023 01:20Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye karibuni ametembelea Saudi Arabia kwa mwaliko rasmi wa Faisal bin Farhan, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, siku ya Ijumaa alikutana na kuzungumza na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mjini Jeddah.