-
Magaidi Waisraeli wanashambulia shule za Wapalestina
Aug 14, 2023 04:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali vitendo vya kigaidi vya hivi punde zaidi vya walowezi wa Israel dhidi ya shule mbili za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Sababu za kuongezeka jinai za genge la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 14, 2023 00:30Genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa mara nyingine tena limeongeza operesheni zake za kigaidi nchini Syria.
-
Walowezi wa Kizayuni wenye kufurutu ada wavamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 14, 2023 00:29Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali tena wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Syria yamtunuku Nishani ya Ushujaa rubani Mpakistani aliyepigana Vita vya Siku 6 vya Waarabu na Israel
Aug 13, 2023 10:47Syria imemtunukia Nishani ya Ushujaa ya nchi hiyo rubani mkongwe wa Jeshi la Anga la Pakistan, AbdulSattar Alvi, ambaye aliidungua ndege ya kivita ya Israel wakati wa Vita vya Siku Sita kati ya Waarabu na utawala huo haramu wa Kizayuni vilivyopiganwa mwaka 1967.
-
Damascus: Marekani imefanya uhalifu mpya dhidi ya jeshi la Syria
Aug 13, 2023 04:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa Marekani imezidisha vitendo uhalifu na jinai mpya za katika nchi hiyo.
-
Kuibuka hitilafu mpya ndani ya baraza la mawaziri la Netanyahu kuhusu suala la usalama
Aug 12, 2023 23:00Hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu kuhusu suala la usalama zimeongezeka ambapo mawaziri wa baraza hilo wanahitilafiana waziwazi kuhusu jambo hilo.
-
Hizbullah: Misimamo ya kichochezi dhidi ya muqawama haiwezi kuitumbukiza nchi katika fitna
Aug 12, 2023 04:15Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema: Misimamo yote ya kichochezi dhidi ya muqawama wa baadhi ya pande mamluki na vyombo vya habari vinavyotaka kupotosha ukweli na kuchochea mifarakano haiwezi kamwe kuipeleka nchi hiyo kwenye fitna.
-
Wapalestina wasiopungua 50,000 washiriki kwenye Sala ya Ijumaa ya Msikiti wa Al-Aqsa
Aug 12, 2023 00:28Duru za Palestina zimetangaza kuwa umati mkubwa wa Wapalestina ulishiriki katika Sala ya Ijumaa ya jana iliyosaliwa kwenye Msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu kilichoko huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Vita vya maneno baina ya Taliban na serikali ya Pakistan vingali vinaendelea
Aug 12, 2023 00:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amelihutubu kundi la Taliban linalotawala nchini Afghanistan akisema: "amani na usalama wa Pakistan haviwezi kufanyiwa mchezo".
-
Magaidi wa Daesh washambulia basi la makuruta wa jeshi la Syria na kuua askari kadhaa
Aug 11, 2023 08:25Basi lililokuwa limebeba makuruta wa jeshi la Syria limeshambuliwa na magaidi wakufurishaji wa Daesh (ISIS) katika mkoa wa Deir ez-Zur wa mashariki mwa nchi hiyo.