-
Mzingiro wa Saudia unahatarisha maisha ya watoto 3,000 Yemen
Feb 06, 2023 04:29Vita vya Saudia dhidi ya Yemen na mzingiro mkali dhid ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu vinaweza kusababisha vifo vya maelfu ya watoto wanaougua saratani, shirika la kutetea haki za binadamu la Yemen limeonya.
-
Kamati ya Maulamaa Palestina: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai dhidi ya taifa la Palestina
Feb 05, 2023 23:13Kamati ya Maulamaa wa Palestina imetangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wanaharakati watoa mwito wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa Bahrain
Feb 05, 2023 23:12Wanaharakati wengi na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Bahrain wametoa mwito wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Mabomu ya kutegwa ardhini, mabomu ya vishada na wahanga wa Yemen
Feb 05, 2023 23:12Wananchi wa Yemen wanaokabiliwa na mashambulizi ya Saudi Arabia, sasa wamekuwa wahanga wa mabomu ya kutegwa ardhini silaha zilizoachwa nyuma na wavamizi hao.
-
UN: Israel imeua makumi ya Wapalestina ndani ya wiki tatu
Feb 05, 2023 07:13Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewaua shahidi makumi ya Wapalestina katika kipindi cha wiki tatu, katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, hayo yamesemwa na Umoja wa Mataifa.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq
Feb 04, 2023 07:42Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Saudi Arabia, Faisal bin Farhan Al-Saud, tarehe Pili Februari alitembelea Iraq. Safari hiyo ya Bin Farhan inaweza kutathminiwa katika kalibu ya masuala ya kikanda na kimataifa.
-
Palestina yafichua: Ulaya inatushinikiza tuchukue msimamo wa kuilaani Russia
Feb 03, 2023 22:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefichua kuwa Ulaya inaishinikiza Palestina ichukue msimamo wa kuilaani Russia sambamba na kueleza kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa mwenzake wa Russia wa kuzuru Moscow.
-
Amnesty International: Saudia inaitumia vibaya michezo kufunika jinai zake
Feb 03, 2023 22:45Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unaitumia vibaya michezo kuficha rekodi yake chafu, ya maafa na ya kutisha ya haki za binadamu.
-
AI: Lazima utawala wa Israel uvunje mfumo wa ubaguzi wa rangi
Feb 02, 2023 23:43Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Israel "lazima uvunje mfumo wa ubaguzi wa rangi au apathaidi ambao unasababisha mateso na umwagaji damu mkubwa" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Sababu za kuongezeka hukumu za kifo nchini Saudi Arabia baada ya Bin Salman kuingia madarakani
Feb 02, 2023 23:36Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Saudia, limetangaza katika ripoti ya karibuni kwamba hukumu za kifo au unyongaji wakati wa utawala wa mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed bin Salman nchini Saudi Arabia zinaongezeka karibu mara mbili kila mwaka.