-
Maadhimisho ya mwaka wa 25 tangu kuasisiwa kundi la kiuchumi la nchi za Kiislamu D8
Jun 13, 2022 22:09Sherehe ya kuadhimisha mwaka wa 25 tangu kuasisiwa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi D8 imefanyika mjini Istanbul, Uturuki kwa kuhudhuriwa na mabalozi wa nchi wanachama akiwemo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
HAMAS: Shambulio la Israel dhidi ya Syria linatokana na kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Jun 13, 2022 03:30Mkuu wa Ofisi ya Mahusiano ya Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, shambulio la utawala haramu wa Israel dhidi ya Syria sababu yake ni kushindwa mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Hizbullah: Muqawama ni udharura wa kimkakati wa kumkwamisha adui
Jun 12, 2022 22:44Mjumbe mmoja wa Baraza Kuu la Hizbullah ya Lebanon amelaumu baadhi ya mirengo inayoshirikiana na Marekani ndani ya Lebanon na kusisitiza kuwa, muqawama na mapambano ni udharura wa kimkakati wa kumkwamisha adui kwenye kinamasi na kumzuia asifikirie kabisa kushambulia ardhi ya Lebanon.
-
HAMAS na Jihadul-Islami: Muqawama ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina
Jun 12, 2022 06:07Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina zimelaani vikali mwenendo wa baadhi ya watawala wa Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, muqawama ndio njia pekee ya kuzikomboa ardhi za Palestina.
-
Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao
Jun 12, 2022 03:23Duru za kiusalama huko Palestina zimedokeza kuwa, vikosi vya muqawama vya nchi hiyo vimefanyia majaribio makombora yao katika fukwe za Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana na kutangaza uungaji mkono wao kwa wafungwa wa kisiasa
Jun 11, 2022 22:02Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa hao wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa.
-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 05:44Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.
-
Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US
Jun 10, 2022 22:05Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanamshinikiza Rais Joe Biden wa Marekani afute jina la kampuni ya Israel ya NSO ambayo imekuwa ikiuza programu ya kijasusi ya Pegasus kwenye orodha nyeusi ya Washington.
-
Safari ya pili ya Bennet nchini Imarati katika kipindi cha miezi sita
Jun 10, 2022 05:47Naftali Bennet, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Alhamisi Juni 10 aliwasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) hii ikiwa ni safari yake ya pili nchini humo katika kipndi cha miezi sita.
-
Sayyid Nasrullah: Hatua za Israel katika machimbo ya gesi ya Karish ni ukiukaji wa mamlaka ya Lebanon
Jun 10, 2022 03:24Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema hatua za Israel katika eneo la machimbo ya gesi ya Karish ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi hiyo na akaeleza bayana kuwa hakuna shaka yoyote muqawama unao uwezo wa kijeshi na kiusalama wa kumzuia adui mzayuni asichimbe mafuta na gesi katika eneo hilo.