-
Jihadul-Islami ya Palestina yalaani hatua ya Imarati ya kumpokea waziri mkuu wa Israel
Jun 10, 2022 03:05Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kumpokea waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati
Jun 09, 2022 18:51Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yupo Abu Dhabi katika ziara rasmi ya kuutembelea Muungano wa Falme za Kiarabu.
-
Kamanda wa kikosi cha mauaji cha Mossad huenda ameuawa katika shambulio la droni Iraq
Jun 09, 2022 08:04Baadhi ya vyombo vya habari za Kiingereza na Kiarabu vimeripoti kuwa kuna uwezekano kamanda wa ngazi ya juu wa shirika la ujasusi la Israel Mossad anayeongoza kikosi cha mauaji ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani iliyolenga gari kadhaa katika barabara kuu ya mji wa Erbil, Kurdistan ya Iraq.
-
Lebanon: Kitendo cha kiongozi wa India cha kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu lazima kilaaniwe
Jun 08, 2022 22:33Waziri Mkuu wa Lebanon amelaani kitendo cha kiongozi mmoja wa India cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, uhalifu huo lazima ulaaniwe.
-
Masumbwi ndani ya bunge la Israel, moto wa mgogoro warindima ndani ya Knesset
Jun 08, 2022 21:50Masumbwi yaliliteka bunge la utawala wa Kizayuni lijulikanalo kwa jina la Knesset Jumanne asubuhi na kuzidi kuthibitisha jinsi serikali ya Naftali Bennett ilivyo tete baada ya wafuasi na wapinzani wa serikali hiyo kutwangana makonde bungeni.
-
HAMAS: Ni fedheha kubwa kwa balozi wa Israel kupatiwa cheo cha juu Umoja wa Mataifa
Jun 08, 2022 03:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, ni fedheha kubwa kwa balozi wa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa kupatiwa cheo cha juu katika asasi hiyo muhimu ya kimataifa.
-
IMF: Theluthi moja ya wananchi wa Yemen hawana usalama wa chakula
Jun 08, 2022 03:20Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa, theluthi moja ya wananchi wa Yemen hawana usalama wa chakula kutokana na kuongeza kimataifa bei za bidhaa za chakula.
-
Bunge la Iraq lalaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW nchini India
Jun 07, 2022 23:10Bunge la Iraq limelaani vikali hatua ya baadhi ya viongozi wa chama tawala nchini India ya kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW.
-
Sheikh Naim Qassem: Hizbullah iko tayari kuwazuia Wazayuni wasianzishe uchimbaji gesi
Jun 07, 2022 23:09Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, ikiwa serikali itatoa agizo, harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu iko tayari kuchukua hatua yoyote dhidi ya operesheni za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kuchimba gesi katika maeneo yanayozozaniwa kati ya utawala huo na Lebanon.
-
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan mbioni kustawisha uhusiano mwema na majirani
Jun 07, 2022 21:51Amir Khan Motaqi, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, njia za mpakani za nchi hiyo ziko wazi kwa ajili ya majirani na kwamba, serikali ya Taliban ina uhusiano mwema na mzuri na majirani zake.