-
BBC: Uingereza ni mwathirika mkubwa zaidi wa kiuchumi wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
May 06, 2026 10:29Ripoti ya BBC inasema Uingereza inakabiliwa na pigo kubwa zaidi kwa ukuaji wa uchumi miononi mwa nchi za kundi la 20 (G20), kutokana na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran na kufungwa Mlango Bahari wa Hormuz.
-
Njozi za Marekani Kujiona Dola Lenye Nguvu za Kipekee Zimefikia Ukingoni?
May 05, 2026 14:02Profesa Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia amesema: "Vita vya Iran ndio wakati ambapo dhana ya Marekani kuwa dola lenye nguvu za kipekee ilikumbana na ukweli halisi."
-
Iran yatibua mpango wa Trump kuhusu Kombe la Dunia
May 05, 2026 11:51Iran imevuruga mipango ya Rais wa Marekani, Donald Trump, si tu katika nyanja za uchumi, siasa na masuala ya kijeshi kufuatia mvutano kati ya pande hizo mbili, bali pia katika mradi unaohusiana na Kombe la Dunia FIFA 2026.
-
Trump ataka kufichwa picha za vituo vya Marekani vilivyoharibiwa na Iran
May 05, 2026 11:44Donald Trump, Rais wa Marekani, amezitaka kampuni za satalaiti kuficha picha za vituo na kambi za kijeshi za Marekani zilizoharibiwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia ya Magharibi.
-
Ripoti: Ajali ya ndege ya China mwaka 2022 iliyoua watu 132 huwenda ilikuwa ya makusudi
May 05, 2026 11:39Televisheni ya CNN imeripoti kuwa, ikiwa imepita zaidi ya miaka minne baada ya ndege ya abiria ya Boeing 737-800 kuanguka mlimani kusini mwa China na kuua watu wote 132 waliokuwa ndani yake, data iliyotolewa hivi karibuni "imeashiria kwambs upo uwezekano mtu aliyekuwa katika chumba cha marubani alizima usambazaji wa mafuta katika injini kwa makusudi.
-
Mshukiwa wa jaribio la mauaji apigwa risasi karibu na Ikulu ya White House
May 05, 2026 11:34Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kwamba maajenti wa Huduma za Siri (Secret Service) wamempiga risasi na kumjeruhi mwanaume aliyekuwa na silaha katikati mwa jiji la Washington, D.C., karibu na Mnara wa Washington siku ya Jumanne, na kusababisha kufungwa kwa muda Ikulu ya White House.
-
Viongozi wa Kisunni watoa wito wa msaada wa ulimwengu kwa Iran
May 05, 2026 05:34Wanazuoni wa Kisunni kutoka pembe zote za dunia wamehimiza umoja wa Kiislamu na kutoa wito wa kuungwa mkono kwa Iran, katika kongamano la kipekee lililofanyika Jumatatu asubuhi chini ya uratibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu yenye makao yake Tehran.
-
Uungaji Mkono wa Ulaya kwa Jinai za Israel Umekuwa na Matokeo Gani?
May 04, 2026 12:37Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametoa indhari kali akisema, nchi za Ulaya zinazizoesha jamii zao sera za kikatili za Israel, yakiwa ni matokeo ya kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kijeshi na kibiashara na utawala huo wa kizayuni licha ya kuwa unakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari katika mahakama za kimataifa.
-
John Mearsheimer: Vita dhidi ya Iran ni kushindwa mutlaki Marekani
May 04, 2026 10:27Mnadharia wa mahusiano ya kimataifa wa Marekani, John Mearsheimer, amevitaja vita dhidi ya Iran kuwa ni kosa lenye janga kubwa zaidi katika historia ya sera za kigeni na kushindwa kabisa kwa Marekani.
-
Mwandishi wa habari wa Marekani amwita Trump "mateka wa Netanyahu"
May 04, 2026 10:16Mchambuzi wa Marekani, Tucker Carlson amemtaja Donald Trump kama mtu anayedhibitiwa kwa mbali na mateka wa Waziri Mkuu wa Israel katika vita vya Iran.