-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui
Mar 21, 2018 04:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran"
Mar 20, 2018 17:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ameutangaza mwaka mpya wa 1397 hijria shamsia kuwa mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran".
-
Historia fupi, mila na desturi za Nairuzi kwa muhtasari
Mar 20, 2018 02:24Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumatano ya tarehe 21 Machi mwaka huu wa 2018 inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia.
-
Nowruz Katika Utamaduni na Mafundisho ya Kiislamu
Mar 25, 2017 11:41Tuko katika siku za awali za mwaka mpya wa Kiirani wa 1396 Hijria Shamsia ambao ulianza Machi 21. Siku za kuanza mwaka mpya wa Kiirani hujulikana kama Nowruz au Nairuzi na huadhimishwa kwa furaha na shangwe kote Iran na nchi zinazozungumza Kifarsi pamoja na mataifa yote ambayo kwa njia moja au nyingine yana uhusiano na ustaarabu na utamaduni wa Iran.
-
Sherehe ya Nowruz yafanyika katika Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2017 07:52Sherehe ya kuadhimisha sikukuu ya Nowruz imefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.
-
Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi; sisitizo juu ya utambulisho na izza ya taifa la Iran
Mar 21, 2017 02:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1396 hijria shamsia.
-
Sherehe za Nairuzi katika Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2016 07:02Sherehe za kuadhimisha siku kuu ya Nairuzi (Nowruz) zimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran kustawi kwa 5%
Mar 20, 2016 15:46Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.
-
Historia fupi ya Nairuzi
Mar 18, 2016 06:21Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumapili ya tarehe 20 Machi mwaka huu inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Ni sherehe za kale na za muda mrefu ambao matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwakakongwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran.