Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • HAMAS yatoa wito wa kuanzishwa Kamati ya Kitaifa ya Kutetea Quds Tukufu

    HAMAS yatoa wito wa kuanzishwa Kamati ya Kitaifa ya Kutetea Quds Tukufu

    Aug 07, 2020 06:11

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kuanzishwa kamati ya mirengo yote ya Palestina kwa ajili ya kuutetea mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) na kuulinda kutokana na hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Makumi ya maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Idi katika msikiti wa Al Aqsa

    Makumi ya maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Idi katika msikiti wa Al Aqsa

    Jul 31, 2020 11:06

    Makumi ya maelfu ya Wapalestina wamesali Sala ya Idul-Adh'ha katika msikiti wa Al Aqsa licha ya hatua za kiuadui zilizochukuliwa dhidi yao na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Jul 30, 2020 03:02

    Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.

  • Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu

    Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu

    Jul 18, 2020 03:35

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Quds pamoja na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na kambi ya muqawama na kwamba kuyaunga mkono maeneo hayo matakatifu ni jukumu la kidini na kimaadili la mataifa yote ya Waislamu.

  • Mshauri wa Abbas: Chokochoko mpya za Israel zitaibua Intifadha ya 3 ya Palestina

    Mshauri wa Abbas: Chokochoko mpya za Israel zitaibua Intifadha ya 3 ya Palestina

    Jul 05, 2020 22:56

    Mshauri wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameonya kuwa, Intifadha ya Tatu ya wananchi wa Palestina inanukia na bila shaka itaibuka mara moja iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza mpango wake wa kulipora na kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zilizopewa jina la Israel.

  • Intifadha, njia pekee ya kukabiliana na mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi

    Intifadha, njia pekee ya kukabiliana na mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi

    Jun 28, 2020 23:25

    Mkuu wa Kamati ya Kuunga mkono Mapinduzi ya Wananchi wa Palestina amesema kuwa mapambano ya Intifadha ndio njia pekee ya kukabiliana na mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kutaka kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi.

  • Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Jun 10, 2020 00:24

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).

  • Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina

    Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina

    May 31, 2020 23:20

    Mufti wa Palestina ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kutekeleza majukumu yao kuhusu Quds na Palestina na kuyatetea matukufu yake.

  • HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    May 30, 2020 07:55

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo kamwe haitoruhusu utawala wa Kizayuni uendelee kufanya jinai dhidi ya Msikiti wa al Aqsa (Kibla cha Kwanza cha Waislamu).

  • Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi

    Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi

    May 24, 2020 03:27

    Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya ibada.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    53 minutes ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    20 hours ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    22 hours ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    23 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Pezeshkian: Makosa yote ni ya Marekani, kabla ya vita Hormuz ilikuwa wazi

  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Mkurugenzi wa zamani wa UN: Netanyahu na wenzake lazima watiwe mbaroni

  • Jeshi la Ethiopia: Waasi 272 wa TPLF wameuawa baada ya kushindwa jaribio lao mashambulizi

  • Bei ya dizeli yapaa tena Ulaya, yavunja rekodi ya miaka 21 iliyopita

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

  • Rais wa Baraza la Ulaya akataa ombi la Trump la kuitaka EU ijitoe kwenye ICC, ICJ

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS