-
Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Dec 27, 2021 13:27Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Oct 18, 2021 11:26Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na kuwaadhibu wale wote waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Ghalibaf: Damu ya Shahid Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawamaa
May 11, 2021 07:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, damu ya Shahid Qassem Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawama katika kona mbalimbali za dunia.
-
Kufichuliwa mambo mapya kuhusiana na Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
May 10, 2021 09:30Jumamosi usiku, tovuti ya habari ya Yahoo News iliandika makala na ndani yake ilitoa taarifa mpya kuhusu operesheni ya jinai ya kinyama iliyofanywa na jeshi la kigaidi la Marekani ya kumuua shahidi aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Luteni Jenerali Qassem Suleimani.
-
Raisi: Shahidi Soleimani, chimbuko la ushindi mkabala wa maadui
May 04, 2021 01:34Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa chanzo cha ushindi mtawalia dhidi ya maadui.
-
Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani
Apr 03, 2021 09:43Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.
-
Zarif: Trump ametupwa katika jaa la taka za historia, jina la Soleimani litang’ara
Jan 21, 2021 04:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema rais aliyeondoka Marekani wa Marekani ametupwa katika jaa la taka za historia.
-
Waziri wa Ulinzi: Maadui wameshindwa kupigisha magoti Iran
Jan 13, 2021 04:42Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amiri Hatami amesisitiza kuwa, maadui walidhani wangeipigisha magoti Iran lakini wameshindwa kabisa kutokana na Wairani kusimama kidete dhidi yao na sasa ni Rais Trump wa Markeani na waitifaki wake ndio wanaochukiwa zaidi na watu duniani na watatupwa katika dampo la taka za historia.
-
Iran yataka Polisi ya Kimataifa (Interpol) iwakamate wauaji wa mashahidi Soleimani, Fakhrizadeh
Jan 12, 2021 05:06Msemaji wa Polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran imeikabidhi Polisi ya Kimataifa, Interpol, taarifa kuhusu watu wanne waliohusika katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh na pia watu wengine waliohusika katika mauaji ya shahidi Qassem Soleimani."
-
Wairaq wafurahishwa na waranti wa kusakwa Trump ili akajibu mashtaka ya mauaji
Jan 08, 2021 07:04Katibu Mkuu wa "Kataib al Shuhada" ya Iraq ameipongeza idara ya mahakama ya nchi hiyo kwa kutoa waranti wa kutiwa mbaroni rais wa Marekani, Donald Trump ili akajibu mashtaka ya kuwaua kidhulma kamanda Qassem Soleimani na Abou Mahdi al Muhandis ndani ya ardhi ya Iraq.