-
Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi
Jan 08, 2021 02:42Mshauri maalumu wa Rais Bashar al Assad wa Syria amesema, shahidi Qassem Suleimani alikuwa mpigania uadilifu kwa ajili ya wanadamu na mpambanaji wa njia ya ukombozi.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 04:41Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Nukta nne muhimu katika hotuba ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa hauli ya Qassim Suleimani
Jan 05, 2021 11:47Hotuba ya Samahat Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu wauawe shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashd Al-Shaabi ilikuwa na nukta kadhaa muhimu na zenye mazingatio makubwa.
-
Binti wa shahidi Qassem Suleimani atuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina
Jan 05, 2021 07:43Zainab Suleimani, binti wa shahidi Qassem Suleimani ametuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho maalum yaliyofanyika katika Ukanda wa Gaza kwa anuani ya "Shahidi wa Quds" katika mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi kamanda huyo wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
-
Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani
Jan 04, 2021 11:03Januari 3 mwaka uliomalizika hivi majuzi wa 2020, kwa amri ya Rais Donald Trump, utawala wa kigaidi wa Marekani ulifanya jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu wa Mkuu wa Harakati ya al Hashd al-Shaabi katika shambulio la anga lililofanywa jirani na uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq.
-
Ripota wa UN: Mauaji ya Kamanda Soleimani ni kinyume na sheria za kimataifa
Jan 04, 2021 07:50Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji ya kigaidi ya shahid Hajj Qassem Soleimani ni kinyume na sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, mauaji hayo yaliyofanywa na Marekani ni uvunjaji wa haki ya kujitawala ardhi ya Iraq.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Iran italipiza kisasi cha kuuawa shahidi Jenerali Suleimani
Jan 03, 2021 08:10Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa, hakuna chembe ya shaka kuwa Jamhuri ya Kiislamu italipiza kisasi cha kuuawa kigaidi Shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama
Jan 03, 2021 02:54Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, lengo la maandamano makubwa yatakayofanywa leo na wananchi wa Iraq kwa mnasaba wa kukumbuka siku walipouliwa shahidi makamanda wa muqawama ni kutangazwa upinzani dhidi ya uwepo kijeshi wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Meja Jenerali Salami: Iran itatoa jibu kali kwa kitendo chochote cha adui
Jan 02, 2021 13:12Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema: "Sisi tutajibu kitendo chochote cha adui kwa pigo kali".
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 08:59Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.