Watanzania watakiwa kutojipweteka kuhusu maambukizi ya Ukimwi + Sauti
Dec 01, 2017 14:27 UTC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan amewaasa wananchi kutobweteka na kuridhika na hali ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI bali wajali afya zao ili kuweza kufikia lengo la tisini tatu iTapofika mwaka 2020 na kuumaliza kabisa ukimwi nchini Tanzania ifikapo mwaka 2030. Takwimu zinaonesha kuwa Watanzania milioni 1.4 wanaishi na virusi vya UKIMWI. Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam Tanzania ana taarifa zaidi.
Tags