'Bara la Afrika litapata maendeleo ya haraka kwa teknolojia' + SAUTI
May 09, 2018 05:26 UTC
Viongozi wa serikali, wadau na wataalamu wa sekta ya teknolojia ya mawasiliano wanasema kwamba teknolojia ikitumiwa vizuri barani Afrika inaweza kuwa chachu ya maendeleo ya haraka ya bara hilo. Kauli hiyo imetolewa mjini Kigali Rwanda unakoendelea mkutano mkubwa wa wadau wa teknolojia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi.
Tags