-
Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?
Nov 14, 2025 08:09Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.
-
Mgogoro wa kisaikolojia miongoni mwa wanajeshi wa Israel; Wizara ya Vita ya Israel: Kujiua wanajeshi ni kielelezo cha kushindwa
Nov 14, 2025 02:24Gazeti la Uingereza The Independent, limeashiria ongezeko la kiwango cha kila mwaka cha kujiua katika jeshi la Israel baada ya vita vya Gaza, na kuandika kuwa: "Zaidi ya wanajeshi 11,000 wa Israel wamekumbwa na aina mbalimbali za matatizo ya kisaikolojia baada ya vita hivyo, na takwimu kuhusu wanajeshi wanaojiua baada ya kuondoka jeshini hazijachapishwa."
-
Ni ipi nafasi ya pande za kigeni katika mgogoro wa Sudan?
Nov 13, 2025 12:55Vita nchini Sudan vimechukua sura mpya kufuatia kuendelea uingiliaji kati wa nchi ajinabi nchini humo na kudhibitiwa mji wa Al Fasher na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).
-
Kujiunga Wazungu na harakati ya kuisusia Israel; mabadiliko ya kweli au mashinikizo ya umma?
Nov 13, 2025 02:35Harakati ya kususia bidhaa za Israeli (BDS) inazidi kupata nguvu kote duniani, tena kwa kasi kubwa, na watu binafsi na taasisi mbalimbali kote ulimwenguni zinajiunga nayo kwa lengo la kuongeza mashinikizo kwa Israel. Katika uamuzi muhimu zaidi wa hivi karibuni, ni nchi ya Ulaya ya Uholanzi kutangaza kwamba inaandaa sheria ya kupiga marufuku kuingiza nchini humo bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Ni yepi matokeo ya kujiuzulu waziri wa mikakati wa utawala wa Kizayuni?
Nov 12, 2025 08:46Waziri wa masuala ya mikakati wa utawala wa Kizayuni na ambaye ni mtu wa karibu na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amejiuzulu. Ron Dermer, ametangaza kujiuzulu kwa kumtumia barua rasmi Netanyahu.
-
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Nov 12, 2025 02:31Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
-
Kwa nini Iran inaunga mkono mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Sudan?
Nov 11, 2025 10:55Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Tehran kwa haki ya mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Kwa nini vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran vimefeli?
Nov 11, 2025 03:19Shirika la Kimataifa la Ufuatiliaji wa Meli za Mafuta, katika ripoti yake mpya, limesema kuwa mauzo ya nje ya mafuta ghafi ya Iran yamefikia kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Hatari ya ushawishi wa Israel barani Afrika; Tishio lililofichika kwa uhuru wa bara Afrika
Nov 10, 2025 13:05Katika juhudi zake za kuitoa Israel kwenye hali ya kutengwa, Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anatarajiwa kuelekea barani Afrika.
-
Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?
Nov 10, 2025 02:22Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa kwa kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Yemen na kusababisha mateso kwa raia.