-
Juhudi za Wazayuni za kuzuia jinai zao huko Gaza zisisajiliwe, waandishi habari wanashambuliwa
Oct 21, 2024 03:47Miongoni mwa mistari myekundu ambayo Wazayuni wamepuuza na kuvuka katika mashambulizi ya kikatili na ya kinyama huko Gaza na Lebanon ni kulenga waandishi wa habari.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 20, 2024 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kuendelea maandamano dhidi ya Netanyahu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 20, 2024 09:56Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu yamepelekea kuibuka vuta nikuvute na makabiliano kati ya waandamanaji na polisi.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia kuuawa shahidi Yahya al Sinwar
Oct 19, 2024 23:15Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi Yahya al Sinwar, Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na kusisitiza kuwa alikuwa taswira inayong'aa ya mapambano na muqawama.
-
Kuuawa shahidi Yahya Sinwar; kufedheheka Wazayuni na kubakia hai jina la Sinwar
Oct 19, 2024 07:27Yayha Sinwar, Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameuawa shahidi na Wazayuni katika hali ambayo amepigana vita dhidi ya utawala huo hadi dakika ya mwisho ya uhai wake na hivyo kubakisha jina lake katika mioyo ya Wapalestina.
-
Jumuiya ya Shanghai na upinzani dhidi ya vikwazo vya upande mmoja
Oct 18, 2024 23:03Katika taarifa ya mwisho ya mkutano wa 23 huko Islamabad, mji mkuu wa Pakistan, viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai sambamba na kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Magharibi dhidi ya nchi hizo, wamesema vikwazo hivyo vinaenda kinyume na sheria za kimataifa na kusisitiza kuwa kuwekwa vizuizi vya kibiashara kunavuruga maendeleo endelevu kimataifa.
-
Kushindwa mara mbili Israeli katika vita vya Lebanon
Oct 18, 2024 08:26Juhudi za jeshi la utawala wa Kizayuni za kujaribu kuingia katika ardhi ya Lebanon zimeshindwa na kuusababishia hasara na maafa makubwa, na kwa upande mwingine mashambulizi yake katika makazi ya raia na vituo vya vikosi vya UNIFIL nchini Lebanon yameongeza wigo wa jinai zake na hivyo kuibua hitilafu na migawanyiko kati ya waungaji mkono wake wa Magharibi.
-
Cairo, hatua ya nane ya safari ya kieneo ya Araghchi
Oct 17, 2024 23:20Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Cairo, mji mkuu wa Misri, katika kituo cha nane cha safari yake ya kieneo ambapo amekutana na kuzungumza na rais na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
Oct 16, 2024 10:00White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Umoja wa Umma wa Kiislamu, siri ya ushindi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 16, 2024 00:20Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuleza kuwa Iran iko tayari kusaidia kujenga maelewano ya pamoja ya kiusalama kuhusu hatari ya kihistoria ya utawala wa Kizayuni, amesema: Kuna haja kusimamishwa aina yoyote ya mpango wa kisiasa na kiuchumi unaousaidia utawala huo ghasibu.