-
Video: Sehemu ya nguvu za makombora za Iran, mara ya kwanza kusambazwa
Jun 21, 2017 05:18Mitandao mbalimbali ya Iran imesambaza kipande cha video kinachoonesha sehemu ya uwezo mkubwa wa makombora wa Iran na jinsi makombora hayo yalivyo na uwezo wa kupiga shabaha kwa umakini na umahiri wa hali ya juu.
-
SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Burundi wakosoa tamko la serikali la kutomtambua mke zaidi ya mmoja, wataka marekebisho
Jun 19, 2017 12:36Viongozi wa Kiislamu nchini Burundi wamewataka Waislamu wa nchi hiyo kushikamana na mafundisho ya dini yao hususan katika suala la kuoa zaidi ya mke mmoja ambalo linaonekana kupigwa marufuku na serikali.
-
SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya waionya serikali kumkamata kiongozi wake, wasema utamlinda
Jun 19, 2017 12:35Mrengo wa upinzani nchini Kenya umejitokeza na kuishutumu serikali inayoongozwa na muungano wa Jubilee kwa kuendeleza sera za undumakuwili kuhusiana na sakata la matamshi ya kiongozi wake Raila Odinga aliyoyatoa hivi karibuni.
-
VIDEO: Mashambulio ya makombora ya Iran dhidi ya magaidi wa Daesh yameakisiwa kwa wingi duniani
Jun 19, 2017 09:11Mashambulizi ya makombora yaliyofanywa jana usiku (Jumapili) na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH yameakisiwa kwa wingi.
-
Moja ya video zilizochukukliwa na drone za Iran wakati makombora yalipopiga maeneo ya magaidi wa Daesh nchini Syria
Jun 19, 2017 09:05Katika harakati ya kishujaa yenye utaalamu wa hali ya juu, ndege zisizo na rubani za Iran zilikuwa zinapiga picha na kuzituma nchini Iran wakati makombora ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH yalipotua katika maficho ya magaidi wa Daesh.
-
Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 19, 2017 08:10Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alikutana mjini Tehran na familia za mashahidi walinzi wa Haram Takatifu na vikosi vya usalama vinavyolinda mipaka ya nchi na kusisitiza umuhimu wa mashahidi katika uhai wa Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia na kukariri kwake madai ya uongo dhidi ya Iran
Jun 19, 2017 00:16Kwa mara nyingine Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia ametoa madai yake yasiyo na msingi wowote ya kile alichokisema kuwa eti ni uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ugaidi.
-
Iran yavurumisha makombora ya balistiki hadi ngome za ISIS nchini Syria+VIDEO
Jun 18, 2017 23:31Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC limetangaza kuvurumisha makombora kadhaa ya balistiki hadi katika ngome ya magaidi wa ISIS katika eneo la Deir Ezzor nchini Syria kama njia ya kuwaadhibu magaidi waliohusika na hujuma za hivi karibuni mjini Tehran.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mashindano ya Qur'an Tanzania na ubaguzi wa kidini huko Kenya
Jun 16, 2017 13:37Ni ripoti ya matukio ya Kiislamu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ambayo imeandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Hassan Issa Ali.
-
Iran yafuzu fainali kucheza Kombe la Dunia 2018 Russia
Jun 14, 2017 00:06Timu ya soka ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa timu ya pili kujikatia tiketi ya michuano ya kombe la dunia hapo mwakani huko nchini Russia baada ya kuigaragaza timu ya Uzbekstan mbao 2 kwa nunge.