-
Utambulisho wa kweli wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 13, 2017 08:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alikutana na viongozi wa mihimili mikuu mitatu ya dola, maafisa wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na majimui ya wakurugenzi ambapo katika sehemu ya hotuba yake alibainisha utambulisho halisi wa Marekani.
-
VIDEO: Magaidi wakiingia katika ofisi za huduma kwa raia za Bunge la Iran mjini Tehran
Jun 08, 2017 14:11Video ya awali kabisa inayoonesha magaidi wakiingia katika jengo la kutoa huduma kwa wananchi wa kawaida la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran.
-
VIDEO: Jeshi la SEPAH la Iran likiokoa wafanyakazi waliovamiwa na magaidi katika ofisi za Bunge, Tehran
Jun 08, 2017 14:06Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran wakiwaokoa wafanyakazi wa ofisi za Bunge mjini Tehran baada ya magaidi kujiingiza kwenye jengo hilo kwa mavazi ya kike.
-
SAUTI: Rwanda yasoma bajeti yake leo yaonyesha ongezeko la asilimia 7.6%, kilimo chazidi kutupwa mkono
Jun 08, 2017 10:57Rwanda imetangaza bajeti yake sambamba na baadhi ya nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika mashariki.
-
SAUTI, Sutafahamu ya kisiasa yaigubika Kongo DR kufuatia matamshi ya Rais Joseph Kabila kuwa hakuwahi kuahidi uchaguzi
Jun 04, 2017 10:30Matamshi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwamba, hakuwahi kuahidi chochote kuhusiana mchakato wa kufanyika uchaguzi wa rais mwaka huu nchini humo, yameibua swintofahamu baina ya wanasiasa.
-
Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania
Jun 03, 2017 05:36Wabunge nchini Tanzania wameelezea kutofurahishwa na kitendo cha Spika wa Bunge la nchi hiyo Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu mbunge wa upinzani John Mnyika (CHADEMA) na kusema kuwa vitendo hivyo ni unyanyasaji dhidi ya wabunge wa upinzani na ni kuwapendelea wabunge wa chama tawala CCM. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi...
-
Kuongezeka hasira za Wabahrain dhidi ya Marekani
Jun 02, 2017 21:58Habari kutoka nchini Bahrain zinaonesha kuongezeka mno hasira za wananchi wa nchi hiyo dhidi ya Marekani kutokana na siasa zake za kuunga mkono ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya raia hususan kuendelea kuzingirwa nyumba ya Sheikh Isa Qassim kwa baraka kamili za Marekani.
-
IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti
May 31, 2017 12:41Awapa tahadhari wanaojihusisha na mauaji hayo kuwa chuma chao ki-motoni.
-
Watakaohujumu mradi wa reli ya kisasa ya SGR nchini Kenya, kunyongwa!
May 31, 2017 12:37Rais Uhuru Kenyatta azindua usafiri wa reli ya kisasa, ulioigharimu nchi hiyo karibu Shilingi bilioni 400 (Dola Milioni 40 za Marekani).
-
Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani
May 30, 2017 12:31Waislamu Tanzania watakiwa kukithirisha ibada mwezi huu wa Ramadhani na hata baada ya funga.